Nini dawa ya kupunguza makalio?

Makalio makubwa yanatokana na genes, hata ukikonda kijungu kutakuwepo kutokana na saize ya mwili.

Squirts sidhani kama yanapunguza, huwa yanaenhance zaidi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom