Nini dawa ya kupunguza makalio?

Ungeweka picha tuyaone kwanza...kidding bhana nashauri nenda kwenye Gym watakusaidia sana sio Gym ambazo hazina wataalamu hebu nenda Pale Fitness Master muone dada mmoja anaitwa Sys, FitnessMaster wapo Tunisia Road, Karibu na Viwanja vya Leaders Clud-Dar es Salaam
 
aisee poa mkali,ila tatizo ki2 cha mwanza hki
 
Fitness centre hiyo kwa mwanza ipo maeneo ya fortes garage along station road, wanaface railway station. Watakusaidia pia
 
aisee jaman thanx kwa ushauri,ckutegemea kupata wa2 wenye busara kama nyie
 
kukaa njaa mbona mzozo jombaa
Mkuu 2k Genius Sio mzozo fanya mazoezi utapungukiwa na huo Mgogoro wa Yanga Makalio yatapunguwa uwe kila siku Asubuhi unakunywa Asali kijiko kimoja na maji glasi moja ya uvuguvugu na weka kipande kimoja cha limau kunywa asubuhi kabla ya kula kitu fulululiza kwa muda wa miezi 6 kisha uje hapa ulete feedback yako hapa.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom