Nini chanzo cha ushoga (uhanithi)?

sasa hap ndo patamu nisaidie kupata watumishi wa mungu wa kweli sio mtumishi wa dini unaenda kumuelezea tatizo lako anaenda kukuombea kwa kukushika ------ so nisaidie kama katika dunia hii ya mwisho kama yupo atakaeweza kunisaidia na si kunitaka anipakuwe tena.
Tafuta makanisa ya TAG (Tanzania Assemblies of God) onana na wachungaji wake, tofauti na hapo kitakachokupata usilaumu.
 
Brother, pole sana.

Naweza kufikiri maumivu ulioyapitia kiakili hata kufikia kutaka kujiua. mbaya zaidi ulilaghaiwa ukiwa mtoto.

INAWEZEKANA kabisa kuacha kama ukiamua na kuchukua juhudi za makusudi kutaka kuiepuka. inaweza kuwa ngumu kuamini lakini uwezo wa kujiondoa uko ndani yako kabisa. And muscles japo zaweza kuwa zimeshalegea, ukifanya mazoezi hasa ya squarts kwa usahihi wake zitarudi kama kawaida, nazo pia huimarisha misuri ya uume kama zikifanya kwa usahihi wake. Anza sasa kujiambia waweza na yote yaliopita si ndwele na jikite kwenye mazoezi ya viungo sana itakusaidia kuondokana na mawazo yasiyo ya lazima.

Mungu anaangalia nia ya Mtu wala si wingi au uchache wa maneno ya sala zetu, UKIWEKA NIA THABIRI, NIAMINI UTAONDOKANA NAYO. kataa kabisa kujiaminisha kuwa huwezi kuondokana na iyo hadi, ASILIMIA LAKI NANE waweza ni kuamua tu.

MUNGU AKUONEKANIE KATIKA SAFARI YAKO BROTHER.

kaka unaweza kuokoka ila isikusaidie kama hujapata msahada wa kimatibabu. mimi nisha do na wachungaji, mashekh,na watu wenye kuaminika sana kwenye dini zao kama viongozi wazuri sitaki kumtaja mtu but wao ndo wapenzi wa hi hizi mambo tena sana sembuse sisi waja!
 
Brother, pole sana.

Naweza kufikiri maumivu ulioyapitia kiakili hata kufikia kutaka kujiua. mbaya zaidi ulilaghaiwa ukiwa mtoto.

INAWEZEKANA kabisa kuacha kama ukiamua na kuchukua juhudi za makusudi kutaka kuiepuka. inaweza kuwa ngumu kuamini lakini uwezo wa kujiondoa uko ndani yako kabisa. And muscles japo zaweza kuwa zimeshalegea, ukifanya mazoezi hasa ya squarts kwa usahihi wake zitarudi kama kawaida, nazo pia huimarisha misuri ya uume kama zikifanya kwa usahihi wake. Anza sasa kujiambia waweza na yote yaliopita si ndwele na jikite kwenye mazoezi ya viungo sana itakusaidia kuondokana na mawazo yasiyo ya lazima.

Mungu anaangalia nia ya Mtu wala si wingi au uchache wa maneno ya sala zetu, UKIWEKA NIA THABIRI, NIAMINI UTAONDOKANA NAYO. kataa kabisa kujiaminisha kuwa huwezi kuondokana na iyo hadi, ASILIMIA LAKI NANE waweza ni kuamua tu.

MUNGU AKUONEKANIE KATIKA SAFARI YAKO BROTHER.

thanks bro ni watu wachache sana wenye kuelewa machungu na maumivu tunayoyapata gays tuliofanyiwa unyama tulipokuwa wtoto but wewe unaelewa! hii inaonyesha ni kiasi gani elimu na utu wako vinafanya kazi ndani yako bila shaka asante.
 
Karibu sana Bro,

Natamani upone ili Mungu akutumia kuwashauri na kuwatoa vijana wengi wanaopotea siku hadi siku. Wengi tumeshindwa kujikwamua kutoka katika hali ngumu tulizonazo kwa kuamninishwa kuwa hadi mtu akakuombee au mtu akusaidie ndo unatoka.

nimeona vingi na nimeshuhudia unafiki mwingi sana wa watu niliodhani wangeweza kunikwamua kutoka point A to B, na mara zote ilishindikana. Nilipopata fursa ya kujijua na kujua uwezo mtu alio nao ndani yake, nimejijenga sana kuchuja ni nini cha kuamini na nini ambacho sio cha kuamini.

maandiko yanasema ''MUNGU HUFANYA KAZI KWA KADIRI YA NGUVU ILIYO NDANI YA MTU'' kwa hiyo inamaana ili upate mabadiliko chanya kwa namna yeyote ni lazima uanze kuyakubali ndani ya akili na mawazo yako. ''kwa maana ajionavyo mtu nafsini mwake ndivyo alivyo'' yasema maandiko. kwa namna yeyote mabadiliko chanya yataanza na mtazamo na nia yako utakayoiweka. na bado hujachelewa bro, kwa usianze kukataa hiyo hali leo, kwa nini watu wakuamninishe hadi ukaombewe ndio utapona, kwa nini uone ni kawaida ati kwa sababu umefanya kwa muda mrefu? kwa nini uweze kuacha vingine then hiko ushindwe? LA HASHA, UWEZO UKO NDANI YAKO kazi yako ni kuugundua na kuutumia kwa manufaa yako na ya watoto wako na familia yako ambayo utaijenga kwa neema inayotenda kazi ndani yetu.

God Bless.

thanks my bro.
 
Hata niwe na ugwadu kiasi gani cwez kuweka mboo yangu mkunduni mwa mwanaume wala mwanamke... K zote hizi mtaani.?
 
Ungesikiliza mfululizo wa vipindi vya njia panda redio mawingu fm chini ya Dkt Isaack Maro jumapili ungepata majibu yote.

Hivi yule jamaa wa clouds umemwonaje? Nilimkutia mwishoni.

Me hata siamini kama kaacha kabisa.......

Kwanza alisema ameachana na marafiki zake wa zamani alafu akasema huwa anaendaga kwenye sherehe zao.

Hata alivyokuwa anasema vitu vingine, kama 'niliona hata hainisaidii kitu, kwanza maumivu tu, wengine wana uume mkubwa......' I WAS LIKE THAT IS SOOO UNNECESSARY.... angekuwa amekuwa rijali angeona aibu basi kusema hivyo....au labda kisa alishazoea akaona ni sawa tu.....

Yule mke kwa sasa hapana kwakweli.....
 
Watu msihukumu haraka. Ikitokea kwa mtu wako wa karibu inakuwa story tofauti kabisa....

Binamu yangu!!! Miaka 16 tu....

Alishajaribu kujiua mara mbu ili....ameponeaje chupuchupu, kunywa petrol si mchezo......

Ukoo mzima, mimi ndo kama ninashikilia maisha yake. Kwa sasa inanibidi nijifanye kama namuelewa na si tatizo kubwa.

Sina dini lakini ushoga haunifurahishi na siukubali na nishasema mwanangu nitamfundisha ufataki mapemaaa. Bora ukute kitoto chako cha miaka kumi kinabanjuka na housegirl kuliko kukuta anapumuliw la na houseboy.....KABISA.

Binadamu jiwekeeni sheria mnazoweza kufuata basi.....kusingekuwa na mambo ya no sex hadi ndoa I beleive mambo mengi yangeepukwa including ubakaji, ushoga etc.

Mnafananisha wanyama na binadamu mmeambiwa wanyama wanasubiriaga ndoa? Zaidi ya 90% ya wanyama wana ndoa za mitala.

Sitetei mnachoita uasherati, na pia two wrongs don't make a right, LAKINI KIUKWELI SI BORA MOJA KULIKO NYINGINE?
 
Haya mambo wakati mwingine huwa ni ya kujitakia tu na baada ya kujaribu watu unogewa na wakati mwingine ujiangusha ili vijana wampitie.

Kuna bosi mmoja kama meneja wa mambo ya jumla jumla kwenye mmojawapo wa mifuko ya hifadhi ya jamii ni shoga. Na kama ilivyo kawaida ya mashoga huyo meneja ni mtu wa umbeya sana, kufitini watu na kila jioni lazima aende nyumbani kwa bosi kuripoti umbeya wake. Mkewe anaishia kuliwa na vijana kwa kipato chake kama mkuu wa taasisi moja hapa nchini.

Yeye alianzia chuoni CBE miaka ya 80's wenzie wakimtomasa ili aweze kusaidiwa shule afaulu
 
kuna mmoja nimesoma nae jitegemee A level,yani alikua akikuta umekaa lazima akuulize boyfriend wako ni nani?unatumia lotion gan, au mekap gan? alikua anapozi balaa,ucombe achelewe kuingia class,ataingia kwa madoido hadi mimi nilikua naona aibu, alafu mama yake ni doctor.hivi huu ugonjwa hautibiki? inauma sana aisee.
 
Haya haya haya hayaaaaa

hop mko vizuri sana aisee, sasa leo embu tupeane mawazo juu ya hili jambo...

Chanzo cha mwanaume kuwa shoga ninini.?

Dume zima na mindevu yake linamkatikia kiuno mwanaume mwenzie,huku linatoa mihemko ya mahaba na kubana pua oooohh baby.... Baby..

Ivi wewe mwanaume unawaonea geree sana jinsi mademu wanavyo katika mauno kunako 6kwa6 na kulialia.?

Ivi chanzo cha ushoga ni nini wana member.? Embu tudadavue vizuri hili jambo bna mana sielew elewi mnajua.?

Finito..
kwa mwanaume ni tamaa,toto la kiume hutaki kazi unataka bata na kuwa na vitu vya thamani,tamaa inapoza ta ko,mtoto wa kike ana k so ku sex kawaida na sifa moja wapo ya mwanamke so kaumbwa kwa tama,dume unatama ka za kike.eti unataka gari hushuhuliki unazani utalipataje...karibu mombasa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom