Nini chanzo cha matokeo mabaya mashuleni?

Pinokyo Jujuman

JF-Expert Member
Feb 5, 2012
552
104
Matokeo mabaya ya mitihani mashuleni nini chanzo;
1.Sera mbaya ya ufundishaji ikiwepo matumizi ya Lugha ngeni kama Kiingereza?
2.Kufutwa kwa adhabu ya viboko mashuleni kwamba kumepelekea Nidhamu mashuleni kushuka?
3.Kutowajibika kwa Walimu, na kufutika kwa kauli mbiu ya kuwa ualimu ni wito?
4.Uzembe wa wazazi na walezi kufatilia maendeleo ya watoto wao?
5.Maendeleo ya sayansi na teknolojia yalopelekea wanafunzi kutumia muda mwingi kwenye mitandao badala ya kujisomea?

Au sababu ni nini; Bandugu???
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom