Nini chanzo cha kuanzishwa chama cha CHADEMA?

anyway, ngojeni niwachangamshe mjue kazi ya CDM bado; PEOPLE OOOOOOOOO'S! Mbona hamwitikii?
 
Kilitokana na Wafanyabiashara wa Kichaga. Yaani Chagga Development Manifestor. Lengo lilikuwa kulinda Masilahi ya Wafanyabiashara. Baadaye Mtei na akina Ndesambulo wakaona kiwe chama cha Kisiasa na kubadili jina kuwa CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO, ili kupanua Wigo wa Mapato zaidi.

Mwenye hoja nje na hizi aseme ukuntu wa hiyo hoja.
Kaka una uthubuti safi saana.
 
Dada waridi nitakushukuru sana kama utanipatia hivyo vyanzo

Kama unafanya utafiti, nakushauri umtafute Dr. Sengondo Mvungi (ila kwa sasa yuko busy na tume ya katiba mpya). Vinginevyo anapatikana mara nyingi Ofisi za chuo kikuu cha Bagamoyo, zilizoko maeneo ya Mikocheni.
 
Back
Top Bottom