Nini Cha kujifunza toka kwenye Picha hii?

mstahiki

JF-Expert Member
Jul 14, 2007
308
5
8D6U1237.JPG
 
Jamaa hana kazi! Wakati watu wanahangaika kutafuta suluhu ya umeme yeye wala hana lolote analojua! Adrenalin level yake ni zero na huyo ndiye kamanda wetu katika vita!!
 
Jamaa hana kazi! Wakati watu wanahangaika kutafuta suluhu ya umeme yeye wala hana lolote analojua! Adrenalin level yake ni zero na huyo ndiye kamanda wetu katika vita!!

acha kejeli

umeme mitambo ya Dowana na IPTL ipo sema nyie mnaojiita wapiganaji hamtaki iwashwe.

hebu mpumzishe rais wetu sie
 
acha kejeli

umeme mitambo ya Dowana na IPTL ipo sema nyie mnaojiita wapiganaji hamtaki iwashwe.

hebu mpumzishe rais wetu sie

Kama inasubiri kuiwasha wamengoja nini hadi umeme ukakatika? Kwani wanahitaji ruhusa yetu? Tusichotaka ni kutushawishi tukubali kuwa mafala kwamba Dowans ni deal poa wakati ni wizi wa mchana!
 
at this stage i careless kuhusu hizo deal zao...sie tunataka umeme ama sivyo ei ya simenti itatuua
 
at this stage i careless kuhusu hizo deal zao...sie tunataka umeme ama sivyo ei ya simenti itatuua

Sote tunataka umeme ila mimi (na wale wenye mawazo kama yangu) hatutaki ubabaishaji ili tusipigwe tena changa la macho! No more Richmonds. Kwani tukisema hakuna Dowans na IPTL hatutakuwa na suluhu nyingine. Kama hakuna basi tumekwisha na Prezidaa wetu!
 
Angejipunguzia vikazi visivyo vya lazima kama hivi asingekua anapatwa na uchovu mpaka anaanguka hadharani..!
 
Inaonyesha ni mtu wa watu anayejali watu.
Kitendo hiki kinaweza kufanywa tu na mtu anayejali,hebu tazama wale watu wa serikali nyuma yake.
Si rahisi kuamini kuwa miaka ya 60 mimi nikiwa mdogo sana umri wa mtoto huyo, vilevile nilkutana na Mwalimu uso kwa uso nikiwa ndani ya nguo za Young Pioneers.Na Mwalimu alifanya kama JK anavyofanya sasa.
That boy will remember this for his entire life.
 
Alipowaona wamekusanyika kwa maelfu katika kijiji cha Mwitongo akawageukia akwaambia "Waacheni watoto wadogo waje kwangu, msiwazuie kwa maana wao ni Taifa la kesho". alipomaliza kusema hayo akainama akamfunga yule mtoto viatu vyake kisha akamuuliza "Umekula" mtoto huku akitikisa kichwa akamjibu "a-ha ha" Kisha..........
 
Mnafki tuu kama kweli anaupendo na watoto bas angempa msingi bora wa elimu, chakula na malazi,, hiyo yote hapo anatafuta kampeni tu ya mwakani, kwani akimfunga kamba za viatu ndo mtoto atashiba??? hebu tuamke jamani mbona ni jambo dogo tuu??? tumuulize tu huyo dogo kapata mlo gani kwa siku ndo tuweze kumsifia kama kweli ni baba anaejali watoto!!!
 
Nani kakwambia rais ni baba wa watoto wote Tanzania..babake anatakiwa amlishe mwanaye finito!,mentality za kutegemea viongozi itaisha lini? do your homework kha!
 
Wewe ni Great thinker!!

Kama angekuwa baba angeenda kulala siku zote hizo tuko gizani? Angeendelea kutanga tanga dunia nzima akikomba pesa sawa na bajeti ya kujenga vyumba kibao vya madarasa au kulipa walimu kama 500 kwa mwezi? (trip yake inatumia ~50ml wakati mshahara wa mwalimu ni ~200,000/-). Kweli wajinga ndio waliwao!
 
Nani kakwambia rais ni baba wa watoto wote Tanzania..babake anatakiwa amlishe mwanaye finito!,mentality za kutegemea viongozi itaisha lini? do your homework kha!

Kama hana jukumu la kuwalisha kwa nini anamuuliza kama amekula? Pamoja na kwamba halishi kila mtu ila kuna vitu anatakiwa kuhakikisha nchi inavipata. Mfano elimu bora, maji safi, umeme wa kutosha n.k Amevitoa?
 
Inaonyesha asivyojali matatizo ya nchi nzima .... hana hata haraka vasco da gama wetu. Anapanga tu namna ya kutoka kwenda nchi za nje kuomba wawekezaji kwenye nchi isiyo na sera ya kueleweka ya nishati.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom