Ningependa kuwaona hawa kwenye UONGOZI wa nchi hii hapo baadae

Point Rutashubanyuma. Naona picha tu za watu walioenda saloon au ni tangazo la saloon? sijui ni za nini . Nafikiri wanajamvi wanahitaji zaidi ideas not pictures. Please tell us potential za hawa watu kwa poor Tanzania

No comment!
 
Costantine Magavilla MARKETING MANAGER ZAIN-Mwandishi wa makala mbalimbali na mtoa mada katika hadhara tofauti. Amekuwa kiongozi mzuri wa Youth alliance na alionyesha uwezo wa kuongoza.

Paul Mashauri Presedent EAST AFRICA SPEAKERS BEREAU tembelea(www.eastafricaspeakers.net)

COMPANERO- JF MEMBER-Michango yake ndani ya JF inaashiria kijana anafaa kuwa kiongozi
 
Tuweke wazi cv fupifupi tu hazitoshi kutuaminisha wanaweza (haswa kwa sisi tunawajua via Tv)...
Kutoa mihadhara wengi wanafanya hivyo na ni just nenda google,library kidogo baasi...
JF member michango ya maneno sio vitendo...na nchi hii inahitaji vitendo zaidi....
 
Costantine Magavilla MARKETING MANAGER ZAIN-Mwandishi wa makala mbalimbali na mtoa mada katika hadhara tofauti. Amekuwa kiongozi mzuri wa Youth alliance na alionyesha uwezo wa kuongoza.

Paul Mashauri Presedent EAST AFRICA SPEAKERS BEREAU tembelea(www.eastafricaspeakers.net)

COMPANERO- JF MEMBER-Michango yake ndani ya JF inaashiria kijana anafaa kuwa kiongozi

Na wewe Nguli unastahili kuwa mtumishi wa hawa watu hapo baadaye.......
Maana inaelekea wewe huwezi tena......
 
hivi kwani hawapo madarakani sasa hivi?...mbona mwengine ni rais tayari?....

na ungependa uwaone kwenye uongozi wa nchi hii wakifanya nini cha zaidi ya hicho wanachofanya sasahivi???.... na watoto wetu wanaosoma shule za kata za JK ungependa "USIWAONE " KWENYE UONGOZI WA NCHI HII?....
hapo walipo at any time t is what they deserve no moo no lesss....
 
Back
Top Bottom