Ningependa kuwaona hawa kwenye UONGOZI wa nchi hii hapo baadae

NGULI

JF-Expert Member
Mar 31, 2008
4,803
637
1. Paul Mashauri Presedent EAST AFRICA SPEAKERS BEREAU

images

2. Costantine Magavilla MARKETING MANAGER ZAIN

images

3. COMPANERO- JF MEMBER

The mentioned above have leadership qualities.
 
Sijakuelewa hapa mkuu

Kila mwanachama wa JF ana haki ya faragha, kutojulikana jina lake la kweli ama sura yake, ila tu kama amekubali kufanya hivyo (kujitambulisha kwa jina au sura halisi) mwenyewe.

Una makubaliano na huyo Companero kwamba hana pingamizi na wewe kumtoa picha yake hapa ?
 
Picha ya COMPANERO iko wapi hapo juu? Companero ametajwa tuu hakuna picha yake
 
Kaka ungewapa namba tu ili kuondoa confusion....1. Paul 2. Constantine 3. Campanero
 
Kila mwanachama wa JF ana haki ya faragha, kutojulikana jina lake la kweli ama sura yake, ila tu kama amekubali kufanya hivyo (kujitambulisha kwa jina au sura halisi) mwenyewe.

Una makubaliano na huyo Companero kwamba hana pingamizi na wewe kumtoa picha yake hapa ?

kwani mbona wasanii wanapotolewa picha zoa kwa majina mbona upingi?kwani na hao si watu tu kama wasanii ambao picha zao zinatolewa?me naona hapo hakuna shida labda tu kama ulikuwa unatujuza kuwa hao waliotolewa ni wana JAMII FORUM(ACTIVE MEMBERS)otherwise ni vyema tu kutolewa hadi picha.
 
1. Paul Mashauri Presedent EAST AFRICA SPEAKERS BEREAU

images

2. Costantine Magavilla MARKETING MANAGER ZAIN

images

3. COMPANERO- JF MEMBER

The mentioned above have leadership qualities.

kama yasemwayo ni kweli,hawa wakiwa viongozi nchi yote itakuwa ya.......................hivi wameshaoa hawa watu au wako single teh teh.nataka nijiweke naomba mchangiaji usitake kujua jinsia yangu.
 
Mbona hujatupatia vigezo vya mapendekezo yako? Au ni matashi binafsi? Vyeo pekee havitoshi tunahitaji kujua wamelifanyia nini taifa hili na wala siyo taifa hili limewafanyia nini..............Vyeo ni taifa hili limewafanyia nini.....tupe nao mchango wao nini baada ya taifa hili kuwafadhili kwa vyeo vyao.........
 
1. Paul Mashauri Presedent EAST AFRICA SPEAKERS BEREAU

images

2. Costantine Magavilla MARKETING MANAGER ZAIN

images

3. COMPANERO- JF MEMBER

The mentioned above have leadership qualities.

Sijaona jina langu wala za Mzenj! listi hii inawalakini
 
1. Paul Mashauri Presedent EAST AFRICA SPEAKERS BEREAU

images

2. Costantine Magavilla MARKETING MANAGER ZAIN

images

3. COMPANERO- JF MEMBER

The mentioned above have leadership qualities.

wana leadership quality? huyo mashauri unamjua wewe? wakati yuko st antony pale mbagala aliyokua anayafanya unayajua? hata alipojiunga UD kusoma PS mwaka 2002, unajua madudu aliyokua anayafanya? unajua kwanini hakugraduate 2005 na kulazimika kukamilisha baadhi ya mambo? unayajua mambo yenyewe? na kwanini yalitokea? wewe unajua sifa ya kiongozi kwer wewe? give me a break kabla sijawaanika hao wasanii
 
Mbona hujatupatia vigezo vya mapendekezo yako? Au ni matashi binafsi? Vyeo pekee havitoshi tunahitaji kujua wamelifanyia nini taifa hili na wala siyo taifa hili limewafanyia nini..............Vyeo ni taifa hili limewafanyia nini.....tupe nao mchango wao nini baada ya taifa hili kuwafadhili kwa vyeo vyao.........
Point Rutashubanyuma. Naona picha tu za watu walioenda saloon au ni tangazo la saloon? sijui ni za nini . Nafikiri wanajamvi wanahitaji zaidi ideas not pictures. Please tell us potential za hawa watu kwa poor Tanzania
 
1. Paul Mashauri Presedent EAST AFRICA SPEAKERS BEREAU

images

2. Costantine Magavilla MARKETING MANAGER ZAIN

images

3. COMPANERO- JF MEMBER

The mentioned above have leadership qualities.

how about abilities, hata makamba na jk wana hizo qualities unazosema but abilities hawana, unaona wana abilities kwa sababu wameajiriwa with good pay slip? wamesha-innovate kitu chochote to deserve leadership qualities? they are just employees, good for nothing salaried managers!
 
1. Paul Mashauri Presedent EAST AFRICA SPEAKERS BEREAU

images

2. Costantine Magavilla MARKETING MANAGER ZAIN

images

3. COMPANERO- JF MEMBER

The mentioned above have leadership qualities.

Naona taratiiibu mnaanza kuji expose tuwajue.Matozi bana!
 
huyo namba moja simjui ila namba 2 saaaaaaana tu, inshort hatutaki hii kitu iingie madarakani...usituchafulie nchi yetu sawa mtoa mada???
 
Back
Top Bottom