Ningekuwa Rais wa Tanganyika ningeunganisha Wizara......

kahaluaJr

Member
Apr 6, 2012
44
11
Wizara ni nyingi sana then zinafanana so ningeunganisha kama ifuatavyo'
1)Mahusiano na Utaratibu
2)Utawala Bora
3)Utumishi
Hii ingekuwa Wizara moja Waziri mmoja na Naibu mmoja
1)Uwekezaji na Uwezeshaji
2Mazingira
Hii nayo ingekuwa wizara moja Waziri mmoja na naibu mmoja
1)Mambo ya ndani
2)Katiba na Sheria
Hii ingekuwa moja Waziri mmoja na naibu mmoja
1)Mafunzo na Ufundi
2)Sayansi na Teknologia
3Vijana utamaduni na michezo
Hii nayo ingekuwa wizara moja Waziri mmoja na Naibu mmoja
1)Maji
2)Mifugo na Uvuvi
3)Chakula
Hii ingekuwa moja pia Waziri mmoja naibu mmoja
1)Muungano unabaki kama ulivyo
Hii waziri mmoja na naibu wake
1)Wizara ya fedha inabaki
Hii itakuwa na waziri mmoja na naibu mmoja tu na sio 2 kama wa Kikwete
1)Ulinzi hii ni wizara kama ilivyo so
Waziri mmoja na naibu wake
1)Wizara ya afya
2)Wanawake na watoto
Hii ni moja,Waziri mmoja na naibu wake
1)Afrika Mashariki
Hii ni moja kama ilivyo,Waziri mmoja na naibu wake
1)Wizara ya Ujenzi
2)Uchukuzi
3)Viwanda
Hii itakuwa moja Waziri mmoja na manaibu wawili
Hili ndio Baraza langu la Mawaziri ukijumlisha na Waziri mkuu,Magari yangekuwa Rav4 na Scudo,kwa maana hiyo Baraza lingekuwa dogo na sio la gharama kiivyo kumbukeni hapa nimepanga kwa dk 3 tu na kama ningechukua muda kama Kikwete lingekuwa dogo sana tu.Kwa maana hiyo ningekuwa na Mawaziri 24 tu.Ahsanteni ni mie katika ujenzi wa Taifa
 
Sina budi kuheshimu mawazo yako ila kwa mtazamo wangu your suggestion is structurally incorrect.
 
Halafu una kuw na makatibu wakuu kwa kila wizara kama ilivyo halafu wanaripoti kwa waziri kwa maamuzi tu.
 
Wizara ni nyingi sana then zinafanana so ningeunganisha kama ifuatavyo'
1)Mahusiano na Utaratibu
2)Utawala Bora
3)Utumishi
Hii ingekuwa Wizara moja Waziri mmoja na Naibu mmoja
1)Uwekezaji na Uwezeshaji
2Mazingira
Hii nayo ingekuwa wizara moja Waziri mmoja na naibu mmoja
1)Mambo ya ndani
2)Katiba na Sheria
Hii ingekuwa moja Waziri mmoja na naibu mmoja
1)Mafunzo na Ufundi
2)Sayansi na Teknologia
3Vijana utamaduni na michezo
Hii nayo ingekuwa wizara moja Waziri mmoja na Naibu mmoja
1)Maji
2)Mifugo na Uvuvi
3)Chakula
Hii ingekuwa moja pia Waziri mmoja naibu mmoja
1)Muungano unabaki kama ulivyo
Hii waziri mmoja na naibu wake
1)Wizara ya fedha inabaki
Hii itakuwa na waziri mmoja na naibu mmoja tu na sio 2 kama wa Kikwete
1)Ulinzi hii ni wizara kama ilivyo so
Waziri mmoja na naibu wake
1)Wizara ya afya
2)Wanawake na watoto
Hii ni moja,Waziri mmoja na naibu wake
1)Afrika Mashariki
Hii ni moja kama ilivyo,Waziri mmoja na naibu wake
1)Wizara ya Ujenzi
2)Uchukuzi
3)Viwanda
Hii itakuwa moja Waziri mmoja na manaibu wawili
Hili ndio Baraza langu la Mawaziri ukijumlisha na Waziri mkuu,Magari yangekuwa Rav4 na Scudo,kwa maana hiyo Baraza lingekuwa dogo na sio la gharama kiivyo kumbukeni hapa nimepanga kwa dk 3 tu na kama ningechukua muda kama Kikwete lingekuwa dogo sana tu.Kwa maana hiyo ningekuwa na Mawaziri 24 tu.Ahsanteni ni mie katika ujenzi wa Taifa
Big up mkuu, hilo baraza linahitaji marekebisho kidogo tu!!!
 
wizara ya muungano ndio inashughulika na nini? Hayo si mambo ya ndani? Ni kama wazazibari wakiwa na wizara ya Tanzania.
East Africa pia, ni mambo ya nje. Ni bora tu fix wizara chache kama wakenyakwenye katiba Yao mpya.
 
Kulingana na hotuba ya JK jana alisema tatizo bajeti tayari zipo ktk maadalizi kwahiyo ni vigumu kuongeza/kupunguza wizara kwa wakati huu kwani wizara ya madini na nishati wadau walitaka igawanywe na ndio kisa cha kutuongezea mzigo sisi walipa kodi kwa kongeza naibu mwingine.
 
Back
Top Bottom