Ningekuwa Pinda ninge edit hotuba yangu ya kuahirisha bunge la 5

Kimbojo

JF-Expert Member
Apr 12, 2009
387
54
Baada ya Mh. Tundu Lissu kurejea taarifa ya Kamati teule ya bunge juu ya Jairo scandal alitaja baadhi ya majina ya watu waliolipwa posho kubwa (500000) kwa siku. Moja kati ya majina hayo ni Dalai Kafumu ambaye ni mbunge mpya wa Igunga.

Pinda kwenye utangulizi wa hotuba yake , alimpongeza huyo mlipwa posho kubwa kwa ushindi wake na kuisifia CCM kwa ushindi huo. Ningekuwa mimi ninge edit hotuba yangu na kuacha hayo ya uchanguzi wa igunga kwani ni aibu kubwa kusifia mtu anayetajwa kwenye jairo scandal(ufisadi) Kwa hili ni aibu kwa CCM na wanaigunga.
 
Baada ya Mh. Tundu Lissu kurejea taarifa ya Kamati teule ya bunge juu ya Jairo scandal alitaja baadhi ya majina ya watu waliolipwa posho kubwa (500000) kwa siku. Moja kati ya majina hayo ni Dalai Kafumu ambaye ni mbunge mpya wa Igunga. Pinda kwenye utangulizi wa hotuba yake , alimpongeza huyo mlipwa posho kubwa kwa ushindi wake na kuisifia CCM kwa ushindi huo. Ningekuwa mimi ninge edit hotuba yangu na kuacha hayo ya uchanguzi wa igunga kwani ni aibu kubwa kusifia mtu anayetajwa kwenye jairo scandal(ufisadi) Kwa hili ni aibu kwa CCM na wanaigunga .
Kaka umenena Vema haiwezekani usome hotuba ya kumsifia mtu ambaye amechafuka kwa kupokea posho kubwa kiasi kile tena isiyo halali katika utaratibu wa kawaida wa ulipaji posho za serikali!!!
 
Kaka umenena Vema haiwezekani usome hotuba ya kumsifia mtu ambaye amechafuka kwa kupokea posho kubwa kiasi kile tena isiyo halali katika utaratibu wa kawaida wa ulipaji posho za serikali!!!
Baada ya Tundu Lissu kumnukisha Dr. Kafumu, nilimsikia spika akisema huyo ndiyo mnyonge wako naona.
 
Kijana alikua na ham kwelikweli ya kwenda mjengoni ili azikusanye kodi zetu! Looh! Wajinga wakubwa
 
Back
Top Bottom