Ningekuwa Kikwete ningekimbia Nchi

wewee watu wako bize wanasign mikataba ya gesi na mafuta afu we unamwambia ajiuzulu....hajiuzulu mtu hapa
 
Si Waislamu kuchoma makanisa tu. Pia ongezea na haya yafuatayo:

1. Waislamu kuchakachuliwa matokeo yao ya mitihani kule NECTA.
2. Waislamu kuchafuliwa kitabu chao Kitakatifu kwa kukojolewa.
3. Waislamu kukatazwa kufanya mtihani wa Form 6 kule Ndanda.
4. Mwalimu wa Kiislamu kunyang'anywa nafasi ya kusimamia mtihani wa Form 4 kisa kavaa kofia.
5. Muislamu kuuawa kwa sababu ya kukataza wimbo wa kwaya ya wakristo unaokashfu ibada ya Hijja usipigwe kule Arusha.

Mkuu haya uliyasahau kuandika.
 
NImetafakari mambo mengi sana ambayo nchi yetu imekuwa ikiyapitia,nchi inapita kwenye wakati mgumu hakuna wa kukemea na hakuna anayetoa kauli ya kutuunganisha watz bila kujali dini,kabila wala rangi,naweza kusema tumefika hapa leo tulipo kwa sababu ya udhaifu wa rais wetu,ni mtu wa mizaha asiyejali,mauaji ya watz wenzetu wasiokuwa na hatia,uharibifu na uchomaji wa makanisa unaofanywa na waislamu na kukaa kimya bila kusema lolote,hatuoni kujituma kwa kazi kwa rais wetu zaidi ya kuteua,kuapisha na kuhudhuria kwenye misiba.

Rais hafanyi ziara za mikoani kujua matatizo walioyo nayo watz badala yake amekuwa mtu wa kutalii nchi za watu,kuna mambo mawili ya msingi kwa rais la kwanza either akubali kujiuzulu ili apatikane mtz mwenye uwezo wa kutoongoza au akubali kubadilika,ajitume kwa dhati kufanya kazi mambo ya msingi, na pia rais wetu aache tabia ya kuzunguka kwa wapiga ramli amtegemee mola wake na atamwongoza kwenye mambo mengi tofauti na hapo kila kukicha,na kwa jinsi mambo yaliyvo hana wa kumlaumu ajialumu yeye kwa kuendekeza uzembe usiokuwa na tija,kupanga ni kuchagua.

Kwa hiyo bado ana nafasi ya kuchagua either kujiuzulu au akubali kubadilika...

nawasilisha

Well said!!
 
Haya yanayoendelea sasa katika duru za siasa hapa Tanzania bara ni aibu kwa utawala wake kama rais wa Jamhuri ya Tanzania. Rushwa imeshamiri, serikali haikusanyi kodi ipasavyo, kila mtumishi wa umma anakusanya kwa nguvu zake zote kila raslimali iliyopaswa kutumika kwa umma.

Ukija kwenye nishati hasa umeme/stima utalia, kila siku ni takwimu za Megawati lakini hatujawahi kufurahia umeme mfululizo.
Madini huko ndio aibu aibu na fedheha kubwa.

Nimshauri Bwana Kikwete, mzaliwa wa Msoga, ikiwa anahisi nchi imemtumbukia nyongo asione haya kubwaga manyanga, kama hilo pia litamnyima usingizi, achimbe kama Balali kisha tutamtangaza kama walivyomtangaza Balali, na kwakua WaTanzania ni watu wanaoamini kila jambo kirahisi wataishia kusema Rest In Peace.

Ni ushauri wangu, kama umeshindwa Kimbia mzee.

Haya mawazo ndo ya wale waliosema nchi haitatawalika. Hivi umekosa la kuandika kweli? Kuna kiongozi yeyote anayekimbia matatizo badala ya kukabiliana nayo? Hivi haya matatizo uliyasema yalianza leo? mbona watangulizi wa JK hawakujiuzulu?
 
Mimi kama mzalendo na mzawa wa Tanzania naishauri Wizara ya Maliasili na Utalii kusitisha na kufuta kabisa liseni za Uwindaji na uuzwaji wa Wanyama hai Tanzania. Nchi inatia aibu. Meno ya Tembo kukamatwa nje ya nchi ni kudhihirisha kwamba Tanzania sasa rushwa imekithiri na Serekali imeshindwa kuidhibiti. Hawa wanyama wanawidwa na kampuni za kigeni zenye liseni za kuua wanyama na kuwasafirisha. Hakuna msukuma, Mhaya, Masai anaweza fanya biashara hizi ni Wageni waliowekeza Tanzania. Rais Kikwete tumia mamlaka yako kufuta liseni hizi watu wanakuaibisha. Kwa nini kila kiovu Tanzania.

Hawa wawekezaji katika Sekta ya uwindaji na uuzwaji wa Wanyama hai inaelekea wanayo fedha nyingi sana kiasi kwamba Jeshi la Polisi na Wizara ya Mali asili wanashindwa kukabiliana nao. Sasa kwa vile Watanzania tulio wengi hatufaidiki na biashara hii na pia kwa vile tumeshidwa kujipanga kukabiliana nao tufute kabisa liseni hizi. Kwa nini wenzetu wa Kenya hawana biashara ya kuwaua wanyama na kuwasafirisha lakini wanaingiza fedha nyingi kwenye utalii wa picha kuliko Tanzania. Serekali iache tamaa za kucheza na rasilimali za Watanzania. Hatufaidiki lolote kwenye kuwaua wanyama, kuwasafirisha na hata kwenye sekta ya madini. Wakenya wanatucheka. Tunaua wanyama au kuwasafirisha kwa sababu zipi jamani Watanzania. Tuingize kwenye Katiba hakuna kuua wala kuuza Wanyama hai Tanzania.
Mkereketwa
Lengai Ole Letipipi
 
Si Waislamu kuchoma makanisa tu. Pia ongezea na haya yafuatayo:

1. Waislamu kuchakachuliwa matokeo yao ya mitihani kule NECTA.
2. Waislamu kuchafuliwa kitabu chao Kitakatifu kwa kukojolewa.
3. Waislamu kukatazwa kufanya mtihani wa Form 6 kule Ndanda.
4. Mwalimu wa Kiislamu kunyang'anywa nafasi ya kusimamia mtihani wa Form 4 kisa kavaa kofia.
5. Muislamu kuuawa kwa sababu ya kukataza wimbo wa kwaya ya wakristo unaokashfu ibada ya Hijja usipigwe kule Arusha.

Mkuu haya uliyasahau kuandika.

Mambo kama hayo yamefanyika kipindi cha JK pekee? hakuna mifano ya matukio kama hayo wakati wa Nyerere, Mkapa na Mwinyi? Tatizo hapa ni uhuru wa kupita kiasa wa kila mtu kuongea alitakalo. Na uhuru huu unaweza kuchangia mambo mengine ya msingi kutofanyiwa kazi kwa vile madai mengi yasiyo na ukweli wowote yanaaweza kufunika hata zile hoja za msingi.
 
Nyie ndio mnaokimbia familia zenu mambo yakiwa magumu. Wewe ni mtoto wa kiume lazima uyakabili matatizo sio kuyakimbia. Kikwete ni Dume la mbegu na madume ya kweli hayatapi tapi hovyo.
Unajaribu kuficha maradhi lkn ukweli ndo huo,kikwete hawezi kutufikisha 2015,labda achague kujiuzulu au abadilike aachane na biashara ya kupiga ramli vinginevyo anatupeleka kubaya
 
na pia inasikitika sana watu kutoa fikra zao alafu anataokea mjinga anaanza kusema JK dume la mbegu,hatuzungumzii upuuzi hapa kama ni dume la mbegu lipeleke likazlishe kwenu huko,tunachozungumzia ni mustakabali wa nchii yetu,nchi yetu ni tajir lkn iko kwenye kundi la nchi masikini zaidi duniani,kikwete kitaaluma ni mchumi atuambie nchi yetu itatokaje huko lkn cha ajabu hajui kwa nini tz ni masikini...
 
Hawezi kukimbia nchi kwa maneno tu;labda yatokee ya Libya. Kumbuka ni mwanajeshi na mkuu wao!
 
Haya yanayoendelea sasa katika duru za siasa hapa Tanzania bara ni aibu kwa utawala wake kama rais wa Jamhuri ya Tanzania. Rushwa imeshamiri, serikali haikusanyi kodi ipasavyo, kila mtumishi wa umma anakusanya kwa nguvu zake zote kila raslimali iliyopaswa kutumika kwa umma.

Ukija kwenye nishati hasa umeme/stima utalia, kila siku ni takwimu za Megawati lakini hatujawahi kufurahia umeme mfululizo.
Madini huko ndio aibu aibu na fedheha kubwa.

Nimshauri Bwana Kikwete, mzaliwa wa Msoga, ikiwa anahisi nchi imemtumbukia nyongo asione haya kubwaga manyanga, kama hilo pia litamnyima usingizi, achimbe kama Balali kisha tutamtangaza kama walivyomtangaza Balali, na kwakua WaTanzania ni watu wanaoamini kila jambo kirahisi wataishia kusema Rest In Peace.

Ni ushauri wangu, kama umeshindwa Kimbia mzee.

kila mtumishi wa umma anakusanya kwa nguvu kilichihokua kitumike kwaajili ya uma kwaajili yake?una uhakika?mbona unapata dhambi bure kwa kusingizia na wasio husika,wewe ni mvivu wa kufikiri,mzandiki na muongo,huna hoja wala mashiko ni mropokaji tu
 
Huna tofauti na gazeti moja nimesoma jana linasema KAFURILA azikoromea nchi tajiri, sijui huyu mwandishi alikuwa anaota, lakini ndo taaluma yake iliishia hapo kufikiri kichwa cha kuandika. Hivi kweli Kafurila anaweza kuyakoromea mataifa tajiri. Nirudi kwako sasa hizo sababu ulizoandika hapo juu ndyo za kumkimbiza rais nchini?

Inaonekana hauna hata takwimu, hebu fuatilia kesi zilizoko mahakamani kuhusiana na ufisadi, nenda TRA upewe takwimu za jinsi tanzania inavyokusanya kodi ukilinganisha na nchi n yingine, tayari megawatt 100 zimeshaingia grid ya taifa kama ulikuwa hujui nakupa taarifa. Jakaya mbona mtamkumbuka tu na chuki binafsi zenu hizo.

Mmshukuru siku hizi mnalala milango wazi , hakuna ujambazi tena. Wale jamaa wameacha ujambazi sasa wanajifanya kuzama kwenye siasa. Huko nako watachemsha tu. JK komaa nao usichoke.

Ujambazi ungalipo kupitia ugaidi wa kiislam-hujui kimetokea nini mbagal? Usiku wa kuamkia leo ATN Studio zimeporwa na maninja wa kiislam.

Huyo JK wako amelalamikiwa na maaskofu kwamba makanisa 57 yamehujumiwa na waislam, lakini hajachukua hatu zozote. Juzi kakabidhiwa jambia na mfalme wa Oman.La nini hilo, tutapona kweli? Kuna amani hapo?
 
kanisa limefanikiwa kupandikiza udini kwa mwavuli wa chadema ona sasa unavyolitafuna taifa
 
Unajaribu kuficha maradhi lkn ukweli ndo huo,kikwete hawezi kutufikisha 2015,labda achague kujiuzulu au abadilike aachane na biashara ya kupiga ramli vinginevyo anatupeleka kubaya

kikwete atafika 2015 na anaweza kuwa rais wa tano pia
 
Huyo Kikwete amewekwa na wananchi sasa unapomshauri akimbie nchi sielewi unamaanisha nini. Unaweza kufanya vizuri kama utawashauri wananchi wasiichague tena CCM 2015.

Kumbuka ni wananchi wangapi waliomchagua then u linganishe na idadi ya watanzania teeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeehe!
 
Hakuna sababu ya kumfanya mheshmiwa rais kujiuzulu hizo ni ndoto zako za mchana
 
Kashakimbia siku nyingi. Safari zake za nje ni nyingi kuliko siku anazokaa ofcn. Fuatilia vizuri, utakubaliana na mimi.
 
Alitakiwa atoe altimatum ya ile ishu, kwamba ndani ya wiki moja uchunguzi uwe mezani kwake, pamoja na mapendekezo ya adhabu kwa parties zote zitakazobainika kuwa wakosa.
Aidha alitakiwa kutamka kuwa serikali itatoa japo nusu ya fidia kwa uharibifu wa makanisa uliofanywa na Waislamu.
Badala yake amekua akitoa matamko yaliyo too general na ndio maana amekuwa akitoa matamko mepesi yasiyomlega mtuhumiwa moja kwa moja , na ninakubaliana na wale wanaohisi kuwa Kikwete huenda yupo nyuma a haya yanayoendelea katika Tanzania, anajitahidi kutotaka kuwaudhi wahuni kina Ponda, inashangaza sana ! na ndio Maana Ponda aliweza kumpa siku saba asipotekeleza maagizo yake nchi haitatawalika...!
 
kanisa limefanikiwa kupandikiza udini kwa mwavuli wa chadema ona sasa unavyolitafuna taifa
Inaonesha hujui unachosema! Kipi kimekitangulia kingine, Chadema au Udini? Mbona uko nje ya mada? Hivi CDM inakupa kiwewe? Mabomu ya mwembechai enzi za mzee ruksa yalipangwa na CHADEMA?
 
Back
Top Bottom