Ningekuwa Kikwete ningekimbia Nchi

Mkuu ukiona mpaka mtu ameamua kuandika hivyo ni kuwa ameshayasikia na kuyaona mengi kuhusu utendaji kazi wa raisi wetu.Huu bila shaka ni kama mfano mmoja tu wa udhaifu unaoongelewa na watanzania wengi.

Naamini mleta mada ametafakari mambo mengi na inawezekana hili la uzio hapo jangwani limeamsha hisia zake alizokuwa nazo tangu siku nyingi.

Mwisho na wewe kama unafuatilia vizuri utendaji kazi wa huyu mkuu wa nchi utakubaliana na mawazo ya wengi kuwa huyu bwana ana mapungufu kiutendaji.
Upo sahihi kabisa, ndiyo maana kwenye sentensi yangu ya mwisho nimesema kwamba Kikwete ana mapungu mengi, lakini hili la uzio si hoja kabisa ya kuijadili kwenye level ya kujiuzuru. Ndiyo maana nasema tulete hoja nyingine zenye great impact kwa nchi na kwa watanzania kwa ujumla wao. Sasa hoja ya ukuta imeathiri nini katika uchumi au maisha ya watanzania?
 
Nimekudharau sana Leo..
I see! Watu wenye akili na hekima nyingi katu huwa hawadharau mtu hata angekuwa ni masikini au ni taahira kiasi gani, badala yake humsaidia. So unaweza kujiasses mwenyewe upo kwenye level gani hadi unaweza kuwadharau wenzako.
 
yule bora wamempa urais maana angefanikiwa kujipenyeza na kuwa mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama angepindua nchi kwa sababu ya uchu wa madaraka ambayo hata hivyo kayapata na anayatumia kufanya anasa za kutalii kwenda kupanda maguta na kubembea.
 
mh.nchi hii inaweza kuwa na marais wastaafu, nusu ya wananchi wake . kama hata suala la uzio basi rais awajibishwe haiwezekani utoe hoja dhaifu huku ukificha hoja nzito maana yake tukuuunge mkono kwa hoja hiyo huku tukitembea kifua mbele hakika tutakuwa majuha, binafsi niliamka asubuhi na mapema huku nikiwa nimefanya kampeni ndogo pale nyumbani ili twende tukatimize haki yetu vote yangu alipata mh, ya mke wangu sijui ila nilimuasa ampe mh; ila kwenye kupiga kura ni yeye na Mungu wake hakuna muujiza kuna viongozi wachache waroho wa madaraka wasioridhika na nyazifa walizonazo ndo kikwazo cha maendeleo ya nchi hii
 
Unapoweka washkaji/maswahiba madarakani ndo madhara yake unakua na watu incompetent kwenye idara muhimu ndo hapo sasa.
 
ingawa sikumpa kura, anahitajika amalize muda wake na kuondoka salama, 2015 naamini chadema kitakuwa kimejiandaa vizuri kuchukua nchi.
 
Chaguo la mungu hilo mnalo! mtajuta kumfahamu na ahadi zake za uongo za maisha bora kwa kila mtanzania.
 
Akili yako hata ubalozi wa nyumba kumi utaishia kuusikia kwa majirani.we utabaki kuwa debe tupu daima
 
Clearly Nchi imemshinda, anaonekana kuhaha, hana maamuzi, hajui cha kufanya, kiujumla nchi imemshinda kabisa, ni aibu kubwa kwa rais wa nchi kama Tanzania kukosa maamuzi, inatia kichefuchefu.

KIPIMO CHANGU CHA NCHI KUMSHINDA:

1. Huyu bwana hajui hata yanayoendelea ndani ya serikali yake:

Kipindi flani mwaka huu, akihutibia wananchi katika viwanja vya jangwani, akiwemo mama Tibaijuka, alipiga kelele kuhusu ujenzi wa uzio wa mabati katika ujanja huo, akamuagiza mama tibaijuka kuwaondoa hao "jamaa, wanaojenga hapo mara moja" maana uwanja wa jangwani ni sehemu ya wazi inayotakiwa kuhifadhiwa. Chaa jabu kabisa, huo ulikua ni ujenzi wa kituo cha mradi wa mabasi yaen dayo kwa kasi.

Aibu kubwa zaidi, hivi majuzi mwaka huu yeye mwenyewe akaenda kufungua mdari huo wa mabasi yaendayo kwa kasi..aibu gani hii..

Inamaana waziri wa ujenzi, na waziri wa ardhi hawakumpa mzee taarifa kuhusu ujenzi huo hapo jangwani??

Kikwete hakuona umuhimu wa kuuliza kabla ya kuota maamuzi??? Inamaana Rais anaweza kwenda mahali asiwe na taarifa muhimu kuhusu eneo analokwenda??

Huu udhaifu na aibu kubwa kama hii, imetokana na nani??? UONGOZI wake ama watendaji wake????

Kwa hili ni kupimo tosha kuwa kikwete , hii nchi imemshinda, hajui afanyalo, jiuzulu tu baba, upishe tufanye uchaguzi.

umeandika sana bahati mbaya hakuna point hata moja.kwa maana nyingine ni uchafu jukwaani,soma mwenyewe ukiwa umetulia utanambia.
 
Niukweli usiopingika kuwa udhaifu wa Rais kikwete sasa unakuwa wazi zaidi kutokana na kushindwa kutoa matamko ya kukemea na kuonya udhaifu uliopo kwanza kwenye chama chake,serikali na jamii kwa ujumla.

Bila 2015 kufika haraka kunauwezakano mkubwa wa Kikwete kutuachia Taifa lililosambaratika kama Syria. Ndiyo maana nimetangulia kuwaomba Watanzania wenzangu kila mmoja kwa Imani
yake tumwombe Mungu na tushikamane mana Tanzania ni yetu hatuna pa kukimbilia yeye na wenzake wanaweza pata hifadhi Nchi jirani.

Matukio ya polisi kuua raia bila yeye kukemea hata kuwajibisha watendaji wake kunapelekea kuanza kuchukua hatua wenyewe kwa kulipiza kisasi.

Tukio la kukojolewa msahafu na kuchomwa msahafu,na badaye Raisi kwenda huko na kutoa kauli dhaifu kumemwonesha rais Kama asiye na mamlaka na bora asingeenda
mana amechochea na kuvunja moyo wa watendaji Kama Kova,RC nitaeza baadaye.
 
Alitakiwa atoe altimatum ya ile ishu, kwamba ndani ya wiki moja uchunguzi uwe mezani kwake, pamoja na mapendekezo ya adhabu kwa parties zote zitakazobainika kuwa wakosa.
Aidha alitakiwa kutamka kuwa serikali itatoa japo nusu ya fidia kwa uharibifu wa makanisa uliofanywa na Waislamu.
 
EE!
MUNGU BORA UMCHUKUE MTU 1 WAKAPONA WENGI TUNAKUOMBA UTUEPUSHE NA HUU UONGOZI TULIONAO KWANI MIAKA ILIYOBAKI MPAKA 2015 NI MINGI SANA TUEPUSHE NA HILI JANGA TULILONALO:
Sikia kilio chetu sisi waja wako.
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom