ningekuwa bwana harusi ningekimbia

siku zikihitajika tutatoa gee
ila leo tumeanzia hapo hope somo limeeleweka bana

Toa boriti kwako kabla hujataka kutoa kibanzi kwa mwenzio

Kitendo tunachomtendea huyo Bi Harusi kwenye picha ya kwanza si chema hata kidogo. Kwa nini tunataka kuondoa happiness yake kwa mambo yasotuhusu?

Sauda Mwilima vyake vinayeya, Bwana Harusi hakukimbia wala nini, usikute hao wanaojiona wanajua kujipamba hata wachumba hawana
 
huyo sauda mwilima kumuweka hapa na kumdhihaki inaweza kuwa inakubalika kwa vile yeye ni public figure....


Mnalolifanya kwa huyo mwengine sivyo hata kidogo
kwani kuna shida gani kama watu wameharibu tunasema tu l
msisitizo ili invi atuwekee jukwaa la urembo
 
toa boriti kwako kabla hujataka kutoa kibanzi kwa mwenzio

kitendo tunachomtendea huyo bi harusi kwenye picha ya kwanza si chema hata kidogo. Kwa nini tunataka kuondoa happiness yake kwa mambo yasotuhusu?

Sauda mwilima vyake vinayeya, bwana harusi hakukimbia wala nini, usikute hao wanaojiona wanajua kujipamba hata wachumba hawana
ahahaaa aya bwana
nitarudi badae .
 
Huyo Sauda Mwilima kumuweka hapa na kumdhihaki inaweza kuwa inakubalika kwa vile yeye ni public figure....


Mnalolifanya kwa huyo mwengine sivyo hata kidogo

Wote hao ni macelebrity wadogo wa Bongo..mmoja ana blog yake ..
 
wasababishi wa haya yote ni wanaume, wanaume wakiyakataa wanawake wataacha tu
 
hakunaga urembo wa hivo bana....hakunaga

Urembo wa hivyo upo na usikute ndo uliompatia mume

Sijaona hata cha ajabu kwenye uso wa Sauda Mwilima zaidi ya ule mkorogo wake wa kila siku
 
Back
Top Bottom