Ninaweza kupata mpenzi wa kweli kupitia safu hii??????????????????????????

mbinayamaswa

Member
Feb 26, 2011
9
0
msomaji wa safu hii , umri wangu umeenda sasa,
ninahitaji mpenzi wa kweli na baadaye awe mke , elimu kidato cha nne hadi chuo
mwenye sifa hii anakaribishwa , ila awe msichana mrefu, asiwe mnene sanaaaaaaaaaa
 
MOD tunaomba jukwaa la kutafuta wapenzi, wake, waume nk. Naona demand imekuwa kubwa mno.
 
msomaji wa safu hii , umri wangu umeenda sasa,
ninahitaji mpenzi wa kweli na baadaye awe mke , elimu kidato cha nne hadi chuo
mwenye sifa hii anakaribishwa , ila awe msichana mrefu, asiwe mnene sanaaaaaaaaaa

unaweza kumpata lakini ungejieleza kidogo.......maana kila mtu ana vigezo vyake.....huwezi jua
 
Unaweza kupata wawekee japo cv yako basi wenye nia wajitokeze
 
mnh kwa kweeeli watafuta wachumba humu ndani sasa mnatuzidi nguvu na sredi zenu yaani zimekua nyiiiingi hadi keeeero
 
msomaji wa safu hii , umri wangu umeenda sasa,
ninahitaji mpenzi wa kweli na baadaye awe mke , elimu kidato cha nne hadi chuo
mwenye sifa hii anakaribishwa , ila awe msichana mrefu, asiwe mnene sanaaaaaaaaaa

mkuu hapa hupati mtu labda wakufanye mme wa pili.yani watakao-reply ni walewale Lizzy & co.
Umri umeenda ulikuwa wapi kipindi chote hiko?
 
aaah,kipindupindu usimkatishe tamaa,atampata tuu.jf ina ma single wengi,na kila mara watu wanatafuta wachumba humu.mkipata muwe mnatupa matokeo,na sisi mtupe nguvu.sio mtu unatafuta mchumba,mara kimyaaa,hujui kama amefanikiwa au hajafanikiwa
 
Ukiona kimya ujue mambo tayari si unajua tena kibongobongo
 
msomaji wa safu hii , umri wangu umeenda sasa,
ninahitaji mpenzi wa kweli na baadaye awe mke , elimu kidato cha nne hadi chuo
mwenye sifa hii anakaribishwa , ila awe msichana mrefu, asiwe mnene sanaaaaaaaaaa

Duu huyu jamaa anatangaza kazi au anatafuta mamsapu :A S 13:!!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom