Ninawamisi wapwa zangu, niko hoi natibiwa

pole kiongozi wangu
Ahsante kamanda wangu:ballchain::ballchain:

hahahahaha
hicho kiuno cha kiwiko au cha kiunoni?
Jana usiku nilihisi kiuno kinachoma nikakumbuka hii thread. hebu nitumie namba ya department anayofanya mtabibu wako LOLz
:A S-danger::A S-danger::A S-danger:

du, Aspirin we kiboko sasa unashindwa toa namba ya simu ya huyo muuguzi,inakuwaje kama mwana JF mwingine akiugua kiuno na akahitaji matibabau kama uliyopata wewe!
Hivi mbona hospitali ziko nyingi? Yanini kumng'ang'ania mtibuji wangu?:ban::ban::ban:
 
Kwa taarifa yako mama matesha yuko katika novena ya kumshukuru Mungu.

Hatimaye kiuno kimemfamfanya kaka mkubwa awahi nyumbani, ale chakula cha usiku na familia pamoja na kusali sala ya usiku na familia. Na kizuri zaidi anaamka akiwa sober...lol!!!:playball:

Mkuu kweli ashukuriwe mwenyezi!!!

Sasa inabidi ukazane sana kumaintain
 
Ahsante kamanda wangu:ballchain::ballchain:

:A S-danger::A S-danger::A S-danger:

Hivi mbona hospitali ziko nyingi? Yanini kumng'ang'ania mtibuji wangu?:ban::ban::ban:
Unamnyima ajira huyo mtibuji wako maana akipata client wengi anajiongezea kipato
isitoshe weye umeoa sasa unamficha wa nini au ushalamba asali?
 
kweli wapwa mnampenda babu yangu yaani mpaka huku bado mnampa pole tu?

Babu........ Simu ya Mama Matesha ngapi?
 
hapo unapokandawa unasikia maumivu ndo raha yenyewe hiyo si unajua raha inakuja ndani ya maumivu kisha utamu unafuatia.
 
Kweli biashara matangazo, Asprin umetangaza haswa hio biashara ya matibabu hapa jamvini na kufanikiwa
kupata wateja lukuki !!! kazi kwako kutoa contact ili biashara ifanyike na tabibu awe na fahari ya utabibu wake !!!
 
Wapwa zangu na mabinamu,

Juzi kati hapa kaka mkubwa nlipata dhahma lililonilazimu kutokuwa hewani hapa na kuhamishia kambi hospitali. Nipeni pole tafadhali.

Mojawapo ya tiba nilizotakiwa kuzipata katika dhahma hii ni mazoezi ya viungo. Sasa sijui kama ni mpango wa hospitali au mipango ya Mungu kwa mimi kupewa physiotherapist yule anifanyie mazoezi na massage.

Massage anayonifanyia dada huyu, natamani nisipone haraka. Sijui ndio mwendo wenyewe au anafanya makusudi? Manake natakiwa kusaula viwalo vyote, nalazwa kitandani, napakwa mafuta halafu mikono milaini ambayo haijawahi kusonga ugali inakuwa inaniminyaminya maeneo ya kiunoni. Napata maumivu makali lakini nikimwangalia binti huyu huyu, maumivu yanaisha ghafla. Then nageuzwa kulala chali naye anaanza kunikanda upande wa baioloji. Balaa linaanzia hapo sasa kwa sababu samtaimz anapitiliza na kugusa ile sehemu kuu ya mwanaume.

Sasa najiuliza, huyu binti mrembo na mtanashati, kashajionea vya mama matesha kwa kiasi chake........halafu tumeshakuwa marafiki kiasi kwamba tumeshapeana namba za simu incase of emergency..... sistahili nami kumlipizia mama matesha kwa kuviangalia vya huyu binti? Manake nshapona lakini najikuta nadanganya sijapona ili niendelee na matibabu haya.....!!!

Na ikitokea ikawa hivyo. hiyo nayo itakuwa infidelity au sehemu ya tiba?

Ntawamiss sana maswahiba kwa wiki mbili hizi hapo kaunta......niko bize najitibia.

Nawatakieni wikiendi njema, hatutakuwa sote kaunta.....:violin::violin::violin:
Dunia imekwisha!!!
Naona wamekusapoti wengi sana.....
Kumbukeni imeandikwa IKIMBIENI ZINAA!
 
Mgonjwa bado unaendelea na massage ?napata utata mgonjwa hataki kupona huyu kwa sababu maalum
 
Kwa taarifa yako mama matesha yuko katika novena ya kumshukuru Mungu.

Hatimaye kiuno kimemfanya kaka mkubwa awahi nyumbani, ale chakula cha usiku na familia pamoja na kusali sala ya usiku na familia. Na kizuri zaidi anaamka akiwa sober...lol!!!:playball:

Inawezekana hii novena ni ya kufanya kiuno kisipone haraka ili uendelee kushinda nyumbani...

Mkuu kweli ashukuriwe mwenyezi!!!

Sasa inabidi ukazane sana kumaintain

Amenteni Kuumwa Kiuno??
 
kweli wapwa mnampenda babu yangu yaani mpaka huku bado mnampa pole tu?

Babu........ Simu ya Mama Matesha ngapi?

Wajukuu wa siku hizi....LOL! Hebu wahi shule huko!

Simu ya bibi yako waitakiani?:ballchain::ballchain::ballchain:
 
hapo unapokandawa unasikia maumivu ndo raha yenyewe hiyo si unajua raha inakuja ndani ya maumivu kisha utamu unafuatia.
Tema mate chini.....ushaumwa kiuno weye?:confused2::confused2::confused2:

Kweli biashara matangazo, Asprin umetangaza haswa hio biashara ya matibabu hapa jamvini na kufanikiwa
kupata wateja lukuki !!! kazi kwako kutoa contact ili biashara ifanyike na tabibu awe na fahari ya utabibu wake !!!
:welcome::welcome::welcome:

Dunia imekwisha!!!
Naona wamekusapoti wengi sana.....
Kumbukeni imeandikwa IKIMBIENI ZINAA!
Hivi kuumwa kiuno na kufanyiwa masaji kuna ZINAA yoyote hapo?:mad2::mad2::mad2:

kwa hiyo unataka kusema hata fedha ya caunter anakamua dada wa physio
You can say that again:welcome::welcome::welcome:

Inawezekana hii novena ni ya kufanya kiuno kisipone haraka ili uendelee kushinda nyumbani...

Amenteni Kuumwa Kiuno??
Watumishi wa Mungu wa karne hii hasara tupu!!:playball::playball::playball:
 
Hivi kiuno hapana pona Mkuu....
Halafu umesahau kunipa namba ya yule tabibu wako....siku hizi ajali nyingi sana..!
 
Hivi kiuno hapana pona Mkuu....
Halafu umesahau kunipa namba ya yule tabibu wako....siku hizi ajali nyingi sana..!

Unaendesha tukutuku? Yule ni speshalisti kwa waliotenguka kiuno wakati wa kushuka..........:fencing:
 
Unaendesha tukutuku? Yule ni speshalisti kwa waliotenguka kiuno wakati wa kushuka..........:fencing:

Naenda kuazima tukutuku kwa jirani.....hadi jumatatu ntakua nishteguka kiuno, wakati nashuka kwenye tukutuku ya jirani...:hurt:
 
Naenda kuazima tukutuku kwa jirani.....hadi jumatatu ntakua nishteguka kiuno, wakati nashuka kwenye tukutuku ya jirani...:hurt:

Yule anatibu watu waliotenguka kiuno wkati wanashuka...........:A S 8::A S 8:
 
hahahahahahhahahahah nimecheka sana mpwaaaaaaa endelea kutibiwa kaka mpaka ukamilifu wa dahari
 
Back
Top Bottom