Ninawamisi wapwa zangu, niko hoi natibiwa

Duh! we sindo juzi ulisema unampenda mkeo na kushauri watu wawapende wake zao leo hii unatoa ushauri huu duh! kwa mume wa mtu!?

Lahaulaa! Mimi najua mpwa anampenda sana mkewe, simshauri usaliti kama unavowaza wewe dia! Alipize machungulizi tu na roho yake itapona!
 
wew mkaka wewe unajishaua tu ungenikuta mimi usingepata hata muda wa kuja humu kueleza hayo usingeweza kuamka hapo chini :A S 8:
ungemtimbatimba kiuno chake mpaka ashindwe hata kutambaa kabisa?

hahaha lolz
 
Hao ma-physiotherapist hawana shifti? kila siku yupo zamu? au ni MIPANGO tu?
Pole sana Asprin
 
........Kuna watu wana vituko wewe Asprin ni mmojawapo,nimeishia kucheka tu.
Kama ni mgonjwa kweli poleeeeeeeeeee.
 
heb tujuze iweje huyo physiotherapist akushughulikie yeye tu kwani hakuna wengine?????au wapo wengi kila mgonjwa na wake????
ugua haraka urudi jamvini!!!!!!
 
Wewe Asprin umetenguka kiuno ulikuwa unafanya nini au lumbesa kwa sana???lol Pole mkuu mkono wa mungu wenye baraka
ukaguse kiuno na nguvu za giza zishindwe Aaaameeen!
 
kiongozi unatisha....................!naomba location mkuu nije kukuletea japo matunda.....................!itakuwa vyema ukinipatia nambari ya huyo muuguzi wetu ili nikifika nisikusumbue kama umelala nampigia mrembo kwanza kumuuliza...........!
 
Kiuno jamani kiuno....

kikitenguka hicho hata ile kazi ya chama huwezi tena
tumuombee mama matesha awe mvumilivu katika kipindi hiki kigumu
 
swahiba..

Si unakumbuka nilikuonya kuhusu yule shemeji yako wa kupaka nail polish???

watakutengua kiuno ndugu yangu, chondechonde usipoteze funtional unit kubwa kama hiyo

Ple sana

Karibu sana nyamachoma hapa freedom arusha
Angalizo lilizingatiwa kamanda. Hii ajali haihusiani na hilo kabisa...... Natamani nije, hebu nitumie helikopta basi, manake basi mpaka Ar ntaharibu mazima.:eyebrows::eyebrows::eyebrows:

Kama kweli unampenda mtabibu wako just bofya avatar yangu kisha select PM niipate kabla jua halijakucha ama sivyo ntajua umetudanganya hapa jukwaani lol
SIDANGANYIIIIIKIIIII!!!:sleepy::sleepy::sleepy::sleepy:

Wataka vifungu vingine vyenye faraja, yaani vikidhi mahitaji yako, sawa!!!! "Mpende Jirani yako kama unavyojipenda mwenyewe" na "Ombeni mtapewa, tafuteni mtapata"
Eee Mama Mdogo.........Twakuomba UTUSIKIE!!:violin::violin::violin:

Duh!!! Pona haraka utoke huko.. Usije pata maradhi mengine.
:focus::focus::focus:

wew mkaka wewe unajishaua tu ungenikuta mimi usingepata hata muda wa kuja humu kueleza hayo usingeweza kuamka hapo chini :A S 8:
OMG!! Jeeeez!!!!:lalala::A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2::kiss::kiss::kiss::help::help::confused2::confused2::confused2::confused2:
 
Hao ma-physiotherapist hawana shifti? kila siku yupo zamu? au ni MIPANGO tu?
Pole sana Asprin
Hapo ndipo hata mi niliposhangaa. Inawezekana ukawa mpango wa Mungu. Halafu akishamaliza kunimasaji huwa namsikia akisema "Jamani wanawake wengine wanafaidi sana huku duniani" Sijui huwa anamaanisha nini?

Ugua pole!,but tunakuhitaji sana hapa jamvini kwa michango yako.Get well soon!!
Amina mama. Nawe usamehewe dhambi zako zote.......:A S 8::A S 8:

........Kuna watu wana vituko wewe Asprin ni mmojawapo,nimeishia kucheka tu.
Kama ni mgonjwa kweli poleeeeeeeeeee.
Una mashaka na ugonjwa wangu? Ahsante kwa dua zako. Nikipona ntakutafuta......:welcome::welcome:

heb tujuze iweje huyo physiotherapist akushughulikie yeye tu kwani hakuna wengine?????au wapo wengi kila mgonjwa na wake????
ugua haraka urudi jamvini!!!!!!
Unawezekana ukawa mpango wa Mungu......Nshaugua haraka, niko karibuni kupona. Ntakutafuta:becky::becky::becky:

Wewe Asprin umetenguka kiuno ulikuwa unafanya nini au lumbesa kwa sana???lol Pole mkuu mkono wa mungu wenye baraka
ukaguse kiuno na nguvu za giza zishindwe Aaaameeen!
Hapana mama, ni ajali za kawaida tu. :confused2::confused2::confused2:

heeee masaji hadi kwenye baiologia?!! usimsaliti mama Tesha:smile-big:
Infidelity is there to stay.....Ombea Mungu kiuno cha biggie kipone haraka:cheer2::cheer2:

kiongozi unatisha....................!naomba location mkuu nije kukuletea japo matunda.....................!itakuwa vyema ukinipatia nambari ya huyo muuguzi wetu ili nikifika nisikusumbue kama umelala nampigia mrembo kwanza kumuuliza...........!
SiDANGANYIIIIKIIII!!!!!!!!!!!!!!!:fencing::fencing:

hiyo kazi siiwezi maana nanihi ziko karibu naweza kumbaka bure!
Utambaka mgonjwa wa kiuno? Utapata dhambi:welcome::welcome::welcome:
 
Kiuno jamani kiuno....

kikitenguka hicho hata ile kazi ya chama huwezi tena
tumuombee mama matesha awe mvumilivu katika kipindi hiki kigumu
Kwa taarifa yako mama matesha yuko katika novena ya kumshukuru Mungu.

Hatimaye kiuno kimemfamfanya kaka mkubwa awahi nyumbani, ale chakula cha usiku na familia pamoja na kusali sala ya usiku na familia. Na kizuri zaidi anaamka akiwa sober...lol!!!:playball:
 
hahahahaha
hicho kiuno cha kiwiko au cha kiunoni?
Jana usiku nilihisi kiuno kinachoma nikakumbuka hii thread. hebu nitumie namba ya department anayofanya mtabibu wako LOLz
 
du, Aspirin we kiboko sasa unashindwa toa namba ya simu ya huyo muuguzi,inakuwaje kama mwana JF mwingine akiugua kiuno na akahitaji matibabau kama uliyopata wewe!
 
Back
Top Bottom