Ninawachukia Hawa.....

majukmu ya kuwanywesha beer na kuchoma nyam, kweli dunia ina majukumu mengi lol, enzi zile mie mr mpaka alikuwa ananiuliza kama nina frnds coz kila tukitoka ni mie na yeye labda na frnds zake, aliwafahamia kwenye shida na raha(msiba/sherehe) cpendi kubebana kabisa mnaonekana kama waswahili wa kushinda vibarazani.

Kama unampango wa Kuachika tuwasiliane!
 
tabia ya kuchuna ndio inayofanya wanaume waendelee kudharau mashosti
 
Halafu Nyamayao inategemea na kiumbe unachoenda kukichuna mi nakwambia inaweza kula kwako ukiona kwa macho.Nilishuhudia mmoja kavua vipuli vyake kaunta kisa bia za bure walimwengu tuna mambo si mchezo.

majukmu ya kuwanywesha beer na kuchoma nyam, kweli dunia ina majukumu mengi lol, enzi zile mie mr mpaka alikuwa ananiuliza kama nina frnds coz kila tukitoka ni mie na yeye labda na frnds zake, aliwafahamia kwenye shida na raha(msiba/sherehe) cpendi kubebana kabisa mnaonekana kama waswahili wa kushinda vibarazani.
 
hahaha kuna mmoja aliita Demu wake kuja kuinjoy na yule demu alkaenda na mashostito wake baada ya kula na kunywa jamaa akalipa bili kubwa ambayo ilimuumiza sana roho.!! akaaga anaenda wash room, kufika huko machungu yamemzidi akaanza kulia si mshikaji wake akamkuta kumuuliza kulikoni unalia chooni jamaa ikabidi aeleze tu machungu yake. kazi kweli kweli!

hahahahaha raha sana, kumbe mnapataga tabu hivi...lol
 
Usishtuke MTM,mi nakwambia kuna ujinga na upuuzi ukiuendekeza unaweza ishia kuwa kituko maana unaweza jikuta unawapanga kama nyanya sokoni wa vocha,kodi ya nyumba,wakunipa bia haya twende kazi sijui na vingine nini tunachuna vile!?

........Mama weeeeeee
 
Jamani madege mengi. Mpaka hili nalo dege?!?!? Eeeeh dege hilo, tena dege lisoliwa!
 
Kuna hata wanaume kwa wanaume tunapigana sana mizinga.....Rev Nisaidie 100.000 nataka toka na Bi Chauro...ukimpatia sahau....
 
]Kwa kweli inakera sana, hasa sisi wadada kuwafanya ma BF wet kama ATM.[/B]

wanawake wengine bila kupewa na mwanaume hawaridhiki!

At the end of the day, men see all women the same, regardless you are hawker/shangingi or not. Tumejitakia wenyewe!
Heeee wewe ni mdada sijajua kabisa aisee Okada
 
tabia nyingine chafu ya wadada ndio hiyo, unaitwa na bfnd wako unabeba mashoga 6 kwenda nao, kutokujiamni tu...mie ningekuwa mwanaume ningeaga naenda washroom then natokomea zangu watajua cha kufanya bill itakapowacli.

Nyamayao umepiga Ikulu.

Imeshawahi kunitokea nilikuwa na miadi na girlfriend tukutanane sehemu fulani kufika nikakuta kasomba kundi la marafiki zake wanne mbaya zaidi wote wanakunywa vinywaji vya bei mbaya.Nilikasirika sana nikaamua kulipa bill na kuondoka urafiki wetu ukakoma siku hiyo hiyo.
 
Eti unaniachaje sasa Gaga lol ulaaniwe na mwenyez Mungu, sipendi kupiga mizinga na sipendi kupigwa mizinga ila zinazojileta nazivuta tu kiaina
 
tabia nyingine chafu ya wadada ndio hiyo, unaitwa na bfnd wako unabeba mashoga 6 kwenda nao, kutokujiamni tu...mie ningekuwa mwanaume ningeaga naenda washroom then natokomea zangu watajua cha kufanya bill itakapowacli.
Mie nina rafiki yangu mademu wakimfanyia hivi kuja kibao anachukia na lazima atawachukua mmojammoja bila kujijua.. yaani wasichana sijui inakuwaje hapo, unapeleka nyama mwenyewe kwa fisi
 
Unajua trick inakuwa anakuomba mbele ya shosti zake! sasa kuona aibu ile NO inakuwa ni new terminology.....by the way wanaume nao wanapiga sana mizinga hasa kama dada unakazi yako ya kueleweka.....anakuvizia upo na rafikizo hahahahah

akinipiga mzinga nikiwa na rafiki zangu atakua kajiharibia mazima.
hakuna kitu kinaput wadada off kama kupigwa mizinga na wakaka,na wadada wanaoombaomba wapenzi wao wanajishushia hadhi,napenda kupewa zawadi na mpenzi lkn pia siwezi kumuona kama chanzo cha kujirahisishia maisha.
pia naweza kumsaidia sbb hata mwanaume kukosa si ajabu siku moja moja lkn kama ndo mchezo wake atakosa mwana na maji ya moto.
 
hata nikiachika crudi tena kwa msukuma ntatafuta mchaga menzangu sasa kubadili hali ya hewa...hahahaha

Nani Kakudanganya mimi Msukuma?

Hebu nipe uzoefu uliishawahi pigwa mzinga na Mwanaume?
 
Kuna hata wanaume kwa wanaume tunapigana sana mizinga.....Rev Nisaidie 100.000 nataka toka na Bi Chauro...ukimpatia sahau....

Mchungaji hii post ni very uziful

Iko hivi kwamba suala zima linachangiwa pia na ukware wetu si wanaume

Uzoefu unaonyesha kuwa kama 'umetembea' na mtoto wa kike yeyote hasa wa mjini, na kama ulishaonyesha uzoefu wa kuclear bills, hukawii kupigwa mzinga kama hivi"

"Switii, niazime 100,000 nimalizie ada ya mtoto, mwisho wa mwezi nakurudishia". SAHAU.
"Baby, kuna rafiki yangu nilimuahidi mchango wa kitchen party, niazime kama 80,000 nitakurudishia". SAHAU.

Cha kunote ni kwamba wako very strategic ni wakati gani wanaomba...inakuwaga pale ambapo mapenzi yapo kwen peak....na mind you, hizi zinakuwa nje ya zile variable costs kama bills za vinywaji, chakula, usafiri, mawasiliano (vocha za hapa na pale nk)

Mimi naona ni aina mpya ya 'utapeli' ulioingia mjini

tatizo, anakwambia hivyo sasa ole wako ukatae au useme sina, ujue hapo ndo mwisho wa penzi, au uthubutu kukumbushia, hapo imekula kwako,

Sasa mi najiuliza, kwa nini watu wanajidhalilisha hivyo? kwa nini utake kitu kwa gia ya kuazima badala ya kuomba kama usaidiwe tu huku ukijua kabisa huu ni mzinga?

Sio ustaaarabu kabisa...sio wadada, sio wakaka....
 
Umeandika kwa hisia sana....pole sana kama yaliisha kukuta....they are very tricky...and professional
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom