Ninawac wac na mchumbaangu hajatulia

Muambie anunue raba mtoni kabisa, hapa atakanyagia hadi kisigino kiishe! Afu kuna maziwa ya kutengenezea juisi ya tende? Si unajua kazi yake?

Nshamwambia wifi weee...juice ya tende haiadimiki kwetu usijali kwa hilo.

Sent from my BlackBerry 9100 using JamiiForums
 
hyo tu ni tabia yake, na2main akwekwa chn akpewa daawa au darasa anaweza kuchange, cha maana awekwe chn na wazee apewe somo
Duuuh! leo na wewe unatoa ushauri mzuri namna hii, kuna thread yako moja niliiona ulikuwa unaomba ushauri kuhusu gf wako anapenda kuchezea kipaza sauti wakati ww hupendi. Umefanikiwa na wewe kumpa daawa na darasa ili abadilike?
 
Hao ndio wanatumia uchumba kupata ngono kiurahisi. Huyo ukute hata kuoa si muoaji.

Maana naona ana tabia za hovyo hovyo...sidhani kama yuko tayari kuoa.
 
Kwanza hujampenda hiyo ni sababu tosha, unayempenda sidhani kama unaweza kumdiscuss, pili amekulazimisha kuleta posa haukuwa tayari, kama una wasiwasi na daladala shuka chukua nyingine ......
Chezea life weye
 
Mmmh me sion kama kuna shida ya ushauri kweli hapo' kama wewe reasoning yako kichwani iko sawa basi ushajua huyu ni mwanaume wa design gani. Ushaur wangu, fuata unachoona ni sahihi kwako na kinamanufaa! Wewe ndo mwenye uamuzi bwana ushauri wetu sisi ni mbwembwe tu.

Sent from my BlackBerry 9930 using JamiiForums
 
honestly nafsi yako inakwambiaje???acha ujinga...ukiona hakufai piga chini,labda sio mchumba ni boyfriend.....

Angalizo:

Usitafute Malaika,hawapatikani duniani labda Ahera...
 
Back
Top Bottom