Ninavyomjua Hemedi Msangi

Mke wake anaitwa Ummy alikuwa akifanyakazi ZANTAS kampuni ya ndege ndogo za kukodisha na kusafirisha watalii uwanja wa ndege Arusha.Bibie Ummy ni chotara wa kiIraq mwanamama mwenye roho nzuri sijui alikutana wapi na jambazi ACP Hemed Msangi.Mwezi May alifanyiwa party ya kuagwa na watumishi wote wa uwanja wa ndege Arusha baada ya kuacha kazi kwa shinikizo la mume wake.


 
ACP Ahmed Msangi tunaomba uje hapa jamvini ujibu hizi shutuma.kwanini ulimteka daktari ulimboka na kumtesa?
 
Kwani Ulimboka amekufa? au unamtabiria kifo?

Ndugu acha shutuma ambazo huwezi kuzi substantiate.
We kijana nimekustukia lazima utakuwa ndiye msangi mwenyewe, ama miongoni mwa maafande wakatili. Nimekuwa nikifuatilia sana posts zako kwa makini
 
Ahmed, sisi tulizoea kumwita "Hemed" wakati tulipokuwa watoto. Mimi binafsi namfahamu sana Hemed, alikuwa rafiki yangu wa karibu sana wa utotoni, wakati huo tunaishi Tabora, eneo la Cheyo Road- ilikuwa kati ya miaka ya 1974 na 1976 baadae tulianza shule pamoja, Cheyo Primary School, Tabora. Wakati huo baba yake alikuwa na cheo kikubwa cha polisi pale Tabora (sina kumbukumbu, ila nahisi alikuwa OCD).

By then familia zetu zilikua very close kiasi kwamba siku nilipopata taarifa za kuhusika kwake na issue ya Ulimboka na kumsimulia mama yangu, tulilazimika kukumbuka picha tulizopiga pamoja wakati huo. Hemed ananijua sana, nahisi hata siku akikutana na uzi huu atajua umeandikwa na nani.

Mara ya mwisho nilikutana nae JKT Ruvu mwaka 1989/1990, kama sikosei yeye akiwa E-coy na mimi nikiwa D-coy.

Mimi nilikuwa A-coy
 
Ahmed Msangi ni kijana muungwana na mstaarabu ninayemfahamu toka ujana tukiwa Kigurunyembe Morogoro. Napata shida na tabu kwamba anaweza shiriki ushenzi kama huo... Kama anachafuliwa inabidi afanye jitihada kubwa kujisafisha na uchafu huu!
 
Huu uzi ni wa muhimu sana. Kwani tunahitaji details za huyu mtu kiundani zaidi.

Je ana watoto na kama anao wanasoma shule gani? Mke wake anaishi Arusha sehemu gani? na shughuli zake ni zipi?

Naomba mwenye majibu ya maswali haya atusaidie tafadhali

Hapo sasa jino kwa jino mi simo kabisaa aaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Mm naona ingefaa zaidi kuanza na watoto wake, wang'olewe kucha na kuvunjwa mataya yao, Mke wake wakuchinja na wakatupewe mabwepande. Wazazi wake nitatoa muongozo baadaye nikishawaona, nitawatembelea leo au kesho mchana. Huyu jamaa ni mtu wakaribu kwangu namjua ni mkatili sana.
Mkuu wangu,kwanza niseme ninavyomfahamu Ahmed sijui kama ameshiriki huu ukatili ama anasingiziwa.. Mke wake ni dada mstaraabu sana. Na ktk incidence mbaya,wakati wa machafuko ya Arusha mwaka jana,mama mkwe wake alipigwa risasi akiwa nje ya nyumba yake akiwaita wajuu waingie ndani! Alikimbizwa Selian hospital,na nasikia baadaye Aga Khan Nairobi....!
 
Jamani tuwe na ubinadam km Mhusika anajulikana si ashughulikiwe yeye,familia yake inahusikaje hapo.Si ajabu huyo demu wake maskn hata hajui mumewe anachokifanya.ahusike mwenyewe pls msifikirie kutesa familia yake
kwani familia ya Ullimboka haihusiki na mateso yanayompata ndugu yao?? watu wameacha kazi kwenda kuuguza, utatakaje fair play in unfair environment??

wataje tu hata bibi zake, vibwengo wake wa dar na arusha poa tu

SI TUSHAAMBIWA LIWALO NA LIWE?
 
kwani familia ya Ullimboka haihusiki na mateso yanayompata ndugu yao?? watu wameacha kazi kwenda kuuguza, utatakaje fair play in unfair environment??

wataje tu hata bibi zake, vibwengo wake wa dar na arusha poa tu

SI TUSHAAMBIWA LIWALO NA LIWE?

mkuu wangu msalaba huu umemwelea Msangi,ingawa inaonekana yeye alipewa amri.. Kama yeye hausiki basi kuna watu tayari wamejipanga kumvisha kitanzi. Inasikitisha vijana kuharibiana future yao namna hii.
 
Wakuu wekeni details na kila kuhusu huyu Ahmed

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Wenye details wazianike hapa haraka haraka kabla huyu Bi Kiroboto hajaja hapa nakuzuia mjadala kwamba swala hili lipo Mahakamani!!
 
Back
Top Bottom