Ninavyomjua Hemedi Msangi

Wakuu HEmedi baba yake amewahi kuwa rpc Arusha HEMEDI mwenyewe alianzia kazi ya polisi Arusha akaenda kusema diploma ya sheria aliporudi alipelekwa kituo cha Usariver sehemu yenye kituo na vifaa maalum vya kutesea wahalifu. Yeyote anaekamatwa na anatakiwa kuhojiwa aliekwa anapelekewa ni HEMEDI kuna wahalifu wengi wamekufa wakiwa wanahojiwa nae. Huyu jamaa baadae alihamisiwa Morogoro.

Hiki sio kituo cha polisi kinatakiwa kiitwe SOBIBOR, kambi ya mateso! Watu wanaopelekwa kwenye hichi kituo wanapata mateso makubwa mno, wanawake wanabakwa, wanaume wanalawitiwa na polisi, wanabanwa sehemu za siri na kufanyiwa unyama mwingine usio na wa kibinadamu,naweza kusema kuwa ni kituo ambacho pia kinaongoza kwa Kupokea Rushwa askari wote wa kituo hiki wana magari HIACE zaidi ya mbili wamejenga majumba ya kifahari na wanaishi maisha y anasa sana, Je mshahara wao kweli ndio unawatosha kufanya hivo? Wanaharakati na wapenda mageuzi hebu mulikeni kituo hiki cha polisi ili kuwaondolea wananchi mateso, manyanyaso na kuvuliwa utu ndani ya nchi yao!!Huyu Msangi alikuwepo hapa akitesa watu kupokea rushwa,kubaka, kulawiti na kuwafanyia wakazi wa Arusha kila ukatili!!
 
Jf imeshamhukumu huyu jamaa atajinasua vipi???? ushahidi ni post mbalimbali zinaonyesha hukumu dhidi ya huyu jamaa.
Dr Ulimboka aliposema ana pochi yake na simu alivyomnyanganya mbona hakukamatwa???? Matokeo yake analetwa jamaa fulani eti alimtesa Dr, subiri apone aje kutoa taarifa kamili!!!!!

Wakuu HEmedi baba yake amewahi kuwa rpc Arusha HEMEDI mwenyewe alianzia kazi ya polisi Arusha akaenda kusema diploma ya sheria aliporudi alipelekwa kituo cha Usariver sehemu yenye kituo na vifaa maalum vya kutesea wahalifu. Yeyote anaekamatwa na anatakiwa kuhojiwa aliekwa anapelekewa ni HEMEDI kuna wahalifu wengi wamekufa wakiwa wanahojiwa nae. Huyu jamaa baadae alihamisiwa Morogoro.

You live by the sword you die by the sword; no wonder he carries a grimacing smile! BUT even the longest river; road or mountain ends somewhere; poor him or whomever else totured dr. Ullimboka will meet their grissily ending no matter when.
 
Hiki sio kituo cha polisi kinatakiwa kiitwe SOBIBOR, kambi ya mateso! Watu wanaopelekwa kwenye hichi kituo wanapata mateso makubwa mno, wanawake wanabakwa, wanaume wanalawitiwa na polisi, wanabanwa sehemu za siri na kufanyiwa unyama mwingine usio na wa kibinadamu,naweza kusema kuwa ni kituo ambacho pia kinaongoza kwa Kupokea Rushwa askari wote wa kituo hiki wana magari HIACE zaidi ya mbili wamejenga majumba ya kifahari na wanaishi maisha y anasa sana, Je mshahara wao kweli ndio unawatosha kufanya hivo? Wanaharakati na wapenda mageuzi hebu mulikeni kituo hiki cha polisi ili kuwaondolea wananchi mateso, manyanyaso na kuvuliwa utu ndani ya nchi yao!!Huyu Msangi alikuwepo hapa akitesa watu kupokea rushwa,kubaka, kulawiti na kuwafanyia wakazi wa Arusha kila ukatili!!

Kina kadogoo na wenzie watano waliuawa Usa river kwa kuchomwa kwa gesi; then RPC Ntobi akaamishiwa Musoma kupunguza hasira za wazazi wa vijana hao akiwamo mwenyekiti wa sasa wa CCM wilaya Arusha ambaye kiti hicho alipewa kumtuliza kwa ushawishi wa Abdrahman Kinana.
 
Inaonekana watu mnazo taarifa nyingi kuhusu kituo hiki cha USA RIVER hebu mwaga nyeti zoote tupate pa kuanzia after all tunaye mbunge anatokea maeneo hayo!!!!!

Kwa hiyo mateso ya Dk Ulimboka, ingekuwa Kenya hiyo ni cha mtoto!
Mkuu, yamewahi kukuta kule Kenya?

kenya balaa achana nako..hawa wa kwetu hua wanapelekwaga kule kenya kujifunza aina zote za uuaji...we unafikiri ajali za gari hapa bongo wamejifunzia wapi kama sio kenya..kule viongozi wameshakufa na ajali sana...
 
Ila ninachojua kwa uhakika ni kwamba RCO'S wengi wa polisi wana uzoefu mkubwa wa kutesa na kuua watu hasa majambazi.Kwaiyo hawana woga wowote linapokuja suala la kuua.Kwaiyo mimi sishangai kabisa ZONAL RCO' WA Dar kuhusihwa.
 
Wakuu HEmedi baba yake amewahi kuwa rpc Arusha HEMEDI mwenyewe alianzia kazi ya polisi Arusha akaenda kusema diploma ya sheria aliporudi alipelekwa kituo cha Usariver sehemu yenye kituo na vifaa maalum vya kutesea wahalifu. Yeyote anaekamatwa na anatakiwa kuhojiwa aliekwa anapelekewa ni HEMEDI kuna wahalifu wengi wamekufa wakiwa wanahojiwa nae. Huyu jamaa baadae alihamisiwa Morogoro.

Liase ...

Commissioner Hemed sio baba yake HEMED MSANGI........,

Ni kweli baba yake Hemed alikuwa polisi na alistaafu akiwa hapo Kibaha....ASP Msangi...,ni wapare hawa...wa usangi.
 
Kama kumuhukumu si kwa sababu ya utekwaji na uteswaji wa Dk Ulimboka bali kwa tabia yake binafsi na tabia ya Jeshi zima la Polisi-tabia y
a kutesa watu.

yeye si ndie aliyemtesa sasa tumlaumu nani? Alitesa akaua akatesa akidhani ye ndie Mungu mtu, sasa kiama chake kimefika jamaa yote imejua
 
Huyu jamaa ni kijana wa miaka kama 42, alipitia jeshini Ruvu miaka ya 1989. Baada ya kumaliza hapo alijiunga na jeshi la polisi, kwenye Jeshi la polisi kapigiwa sana chapuo na marafiki wa baba yake ambaye ni marehemu Zahoro Msangi, ambaye naye alifikia Rank ya Senior Assistant Commissioner Police.

Baba yake na Ahmed Msangi alikuwa RPC sehemu mbalimbali hadi Zanzibar, na mara ya mwisho kabla ya kustaafu kwake kazini alikuwa RPC mkoa wa Pwani akiwa anakaa mkoa wa Pwani. Nyumba aliyokuwa anaishi akiwa kama RPC kwa sasa ni nyumba iliyouzwa na serikali wakati RPC akiwa Kivuyo, ambayo mpaka sasa anakaa Bw. kivuyo. Ila naye marehemu Msangi alijenga jirani na anapokaa kivuyo sasa, na kwa sasa ndugu zake pamoja mama yake wako kibaha wanaishi.

Ahmed Msangi alikuwa police Arusha kwa kipindi cha mda mrefu, na alikuwa kinara sana wa kuua majambazi, kiasi kwamba IGP akiwa anafanya kazi kwenye interpol alimuadmire sana jinsi alivyokuwa anapambana na kuua majambazi na alivyokuwa mstari wa mbele. Ni kipindi hiki alivyoshika U-IGP mwema akampandisha ngazi haraka haraka na cheo chake kikubwa kushika kwa mara ya kwanza ni RCO morogoro ambako alifakamua sana majambazi. Na majuzi alimleta Dsm kuwa mkuu wa upelelezi kanda maalum.

Ahmed Msangi mke wake anakaa Arusha, ndio maana anaonekana kana sana huko Arusha, labda awe keshamuhamisha hivi sasa. Wadau toeni taarifa zake zaidi kwa wanamfahamuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,, zaidi ya niliyoyaeleza mimi
 
Huyu jamaa ni kijana wa miaka kama 42, alipitia jeshini Ruvu miaka ya 1989. Baada ya kumaliza hapo alijiunga na jeshi la polisi, kwenye Jeshi la polisi kapigiwa sana chapuo na marafiki wa baba yake ambaye ni marehemu Zahoro Msangi, ambaye naye alifikia Rank ya Senior Assistant Commissioner Police....

Mimi nimemfahamu zaidi hivi karibuni tuu baada ya kuibuka kashfa ya yeye kuwasaidia majambazi Morogoro kufanya uhalifu kwa maslahi binafsi na hivi majuzi akiwa ameenda hosptali kwenda kumfuatilia Ulimboka kujua kama atakufa au la
 
Back
Top Bottom