Miss Jay
JF-Expert Member
- Jun 2, 2013
- 211
- 174
kuna wakati wanawake huwa tunachoka,unaongea na mumeo hadi unachoka,ukimuambia hivi yeye anafanya opposite basi unaamua kumuacha afanye analotaka na ulimwengu utamfunza,akileta ukimwi nyumbani basi na mfe kwa amani tu maana hakuna namna nyingine,ila kwa kuwa ni mumeo basi unaendelea kumpenda na kucheza part yako kama mke ili asije kupata sababu ya kukuhukumu kwa maovu yake,,kwa kweli wanaume mbadilike mnawatesa sana wake zenu kisaikolojia.