Ninauza shamba lenye ukubwa wa ekari moja

In advance nampa pole mteja atayedanganyika kuwa 25km from ferry iko nje ya kigamboni city project.
 
Haya bwana, endelea na matusi yako! Watu kama ninyi wenye characters za ku attack wenzenu sijui kwa nini mnaendelea kukaa JF.
M-pesa, najua utauza tu hiyo ardhi kwa sababu matapeli mna njia mbalimbali za kurubuni watu. Mfano mdogo ni jinsi tu ulivyoanzisha thread nyingine chapchap na kuleta mikwara koko kwa kupitia PM. Ninachotaka kuhakikisha ni kwamba hata kama unatapeli lakini sio kwa kutumia JF.
 
Mbutu ni miongoni mwa maeneo ambayo yatachukuliwa na serikali kwa ajili ya kigamboni city project. Kabla hujanunua jihakikishie kuwa eneo hilo hutanyang'anywa.
<br />
<br />

Noted mkuu,asante sana kwa taarifa,JF tuendelee na moyo huhu safi wakustuana kama kuna bomu limewekwa humu ndani.
 
In advance nampa pole mteja atayedanganyika kuwa 25km from ferry iko nje ya kigamboni city project.


Asante Ze Marcopolo kwa kuokoa watanzania wengi wanaoamini jamii forum kuepuka utapeli huu. Alert hii nimeisambaza kwenye blog zingine kuwapa watanzania tahadhari
 
Back
Top Bottom