Ninataka kumkimbia kimeo huyu

Yaaani umeomba ki date na mwanamke akafika na shosti yake, mkala misosi, mkanywa, ukalipa bili. Baada ya hapo inaingia sms, "ninataka kumkimbia kimeo huyu", mwanamke alikuwa anamtumia shosti wake akajisahau akakutumia wewe.
Ungefanyaje hapo............???
kwani amekutaja jina??, yeye amesema "kimeo huyu", kwani huyu ndo wewe?????. haya mambo ni ya kawaida, akikolea atabadili jina toka kimeo mpaka asali. koleza minjonjo , ili uwe upandishwe cheo toka kimeo mpaka asali au mpenzi
 
hahhaaaaaaaaaaaaaaaaaaa nimeipenda kweli hii duh!
i wish i was you meeeeeeeeeeeeeeeeeeen............mana nami ningemjibu umejuaje ka na mm najiona ka nimeingia choo cha kike mana mtoto uko ka mjusi kabanwa na mlango


sasa kuwa kama mjusi kubanwa na mlango si matusi haya jamani!!!, mwenzeno alikuwa anaimbisha , wewe unamshauri atukane, si ndo angekosa kabisa. hapo ni kuvumilia tu, ili ule mbivu. alafu vya kusotea mazingira magumu ni vitamu!!
 
Mwana ungemjibu kistaarabu, then uone jinsi angechanganyikiwa, na hapo ndo ungejimegea bila tabu
 
achana na biashara ya kuitana majina..hivi inakuwaje unamuomba demu out(date),halafu anakwenda kukusanya na marafiki zake aje nao?lengo nini?wakuchune au uswahili tu?Binafsi demu akileta na rafiki yake kwenye first date,napiga chini fasta sana
 
Jitahidi ule mzigo, then tafuta contact za rafiki yake, kisha naye ule mzigo. Siku hiyo ukimaliza kula mzigo unawatumia text message kwa simu yako “ Kimeo Kawaweza, kimeo hana mpango na yeyote kati yenu”
 
Namwitia police mwizi na kabla police hawajafika lazima wakute rangi nyekundu zimejaa midomoni na hawezi hata kutembea....
 
Unamlipia bili lakini? au uhnamwacha alipe mwenyewe?

Kwa maelezo yaliyotolewa ni kama bili ilishalipwa ndio sms ikaingia, ikiwa hivyo najiondokea tu kwani bili kitu gani bwana, ila kama bado bili haijalipwa naenda kaunta nalipa vile nilivyokula na kunywa mimi tu kisha ndio naondoka na kumtumia hiyo sms
 
Dah! anyway ...nitajifanya sijaumizwa na msg yake kabisa ila kwa jina la Mungu lazima nikamCameroon siku hiyo na kumtemea mbali kudadadeki.
 
Kumbe kidate nacho ni zinaa !!
Nijuavyo Mimi unatafuta mchumba kwanza halafu ndoa inafuta.
Samahani Kama ntakukwaza, mama uliletetewa mume nini?

Sisi mchumba hufatwa kwao na utaongea nae hapo akiwepo mmoja wa "maharim" zake, kaa ongea nae kula nae lakini kupelekana sijui "date" hakuna hiyo, inapelekea hayo ya kukaribia na kukaribisha zinaa.

Kama hujui "maharim" ni nini kwa kukupa faida, ni yule ambae ni haramu kwake kumuoa.
 
Ridhika tu wewe sio wa kwanza kuitwa kimeo kama umeshindwa kumeza lipa bill agananao muishie hapo msikimbiane bure au nenda nyumbani atakupigia siku yapili mueleze huwezi kuendelea na yeye sababu wewe kimeo kwahiyi unatafuta kime mwenzio.
 
sasa kuwa kama mjusi kubanwa na mlango si matusi haya jamani!!!, mwenzeno alikuwa anaimbisha , wewe unamshauri atukane, si ndo angekosa kabisa. hapo ni kuvumilia tu, ili ule mbivu. alafu vya kusotea mazingira magumu ni vitamu!!
sasa mbona yy kamuambia mwenzie kimeo loh! ww asiombe uchungu wa kuchunwa ukukute aisee
we huni kaja na rafiki yake wamekula na kunywa zen anatuma text ya ivo haki ya mama bora nimeumbwa mwanamke mana cjui ningemuambia nn angejiona ka kimba cha mlevi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom