Ninatafuta toyota collora.

ramson34

Senior Member
Oct 29, 2009
109
4
Jamani ninatafuta toyota collora wadau,iwe na sifa zifuatazo:-
1.iwe ni 110 au 111 ya atleast mwaka 1999 na kuendelea.
2.kama ni used iwe angalau imeingia nchini mwezi wa 5 mwaka huu.
3.iwe imetembea chini ya km 70000.
4.kuwa na rims nzuri na mziki ni sifa za ziada.
5.offer yangu ni kuanzia shs 6.5m na kuendelea.
 
Hiyo Corolla hujapata tu mkuu, mbona humu ndani zinaingia na kutoka kibao tu! hebu jaribu magaritz.com
 
Jamani ninatafuta toyota collora wadau,iwe na sifa zifuatazo:-
1.iwe ni 110 au 111 ya atleast mwaka 1999 na kuendelea.
2.kama ni used iwe angalau imeingia nchini mwezi wa 5 mwaka huu.
3.iwe imetembea chini ya km 70000.
4.kuwa na rims nzuri na mziki ni sifa za ziada.
5.offer yangu ni kuanzia shs 6.5m na kuendelea.

Kuendelea kwenda juu au chini mkuu?:confused2:
 
nimejaribu kuulizia collora hakuna anayeijua......labda ulikuwa unamaanisha corolla?
 
Jamani ninatafuta toyota collora wadau,iwe na sifa zifuatazo:-
1.iwe ni 110 au 111 ya atleast mwaka 1999 na kuendelea.
2.kama ni used iwe angalau imeingia nchini mwezi wa 5 mwaka huu.
3.iwe imetembea chini ya km 70000.
4.kuwa na rims nzuri na mziki ni sifa za ziada.
5.offer yangu ni kuanzia shs 6.5m na kuendelea.

SALAAM KAKA,

KAMA UKO SERIOUS TUWASILIANE MIMI NIPO HUKU HONG KONG NA JAPAN NA NINA DEAL NA MAGARI, NITAKUPATIA OFFER NZURI BUT HIZO GARI ZIPO HUKO HONG KONG NA JAPAN, HIVYO KAMA HUNA HARAKA TUWASILIANE ON technobiz.hk@gmail.com and nime attach one of the quotation for your consideration
 
Attachments

  • TOYOTA COROLLA EE111.docx
    168.4 KB · Views: 87

Similar Discussions

Back
Top Bottom