Ninatafuta mume wa ndoa

alaaniwe yeyote atakayejaribu kuumiza moyo wa dada dina!na atakayekuwa na moyo wa dhati wa kuungana na dada dina ktk maisha ya ndoa ubarikiwe!

dada dina,ukifanikiwa naahidi kutoa huduma ya umc bure ktk harusi yenu!
 
I am also your age +2 (42), MBA with 3 kids (your number plus 2) but interested with you developing a partnership.
Dinam, let me know if MBA (=married but available) and the 2 pluses are ok with you! The number is not a big deal in N-zone!
 
  • Thanks
Reactions: SMU
mh......JF bwana....mambo kila siku....me mdogo bwana....but watu waache utani when others are serious.
 
The future can not be predicted, but it can be created.

Choose wisely dada yangu. And good luck.
 
ondoa shaka mume umempata na ndo hyu hpa...bt me nna 23 so km utakubal npe contact zko thn jamaa nje kujchukulia jko...me penda xna wa2 ka ww.

We .com hujafikisha level za 40 enzi hizo 's' ilikuwa bado inaandikwa 's'
 
Umri wangu ni 40yrs nina mtoto mmoja 8yrs ninafanya kazi, kwa alie na umri kati ya 40 hadi 45 aipm ili tuweze kuwasiliana. Mkristo atapewa kipaumbele zaidi.
Unaposema Mume wa ndoa unamaanisha nini? coz mimi nna sifa zote na natake mke lakini si ndoa!
 
Umri wangu ni 40yrs nina mtoto mmoja 8yrs ninafanya kazi, kwa alie na umri kati ya 40 hadi 45 aipm ili tuweze kuwasiliana. Mkristo atapewa kipaumbele zaidi.
Unaposema Mume wa ndoa unamaanisha nini!? mi nna sifa zote hapo natafuta mke but si wa ndoa!
 
"43yrs, watoto 6 kila m1 na mama yake" mama zao wamekwenda wapi!
Inawezekana wewe ni bikira! I'm 40yrs, wototo 2, cna mke, ni PM haraka iwezekanavyo!
 
jamani mimi natafuta mke wa ndoa..humu humu JF..awe below 27 yrs..
 
Umri wangu ni 40yrs nina mtoto mmoja 8yrs ninafanya kazi, kwa alie na umri kati ya 40 hadi 45 aipm ili tuweze kuwasiliana. Mkristo atapewa kipaumbele zaidi.

I see mi umenizidi mwaka mmoja tu
Lakini naamini mapenzi hayana umri ngoja nizame PM zali la mentali hili
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom