Ninatafuta Kamusi ya kuweka kwa keyboard ya rununu.

IAfrika

JF-Expert Member
Oct 4, 2014
275
216
Naomba usaidizi kule nitakapo pata maneno yote ya Kiswahili niweke kwenye kamusi ya keyboard ya rununu iwache kushinda ikibadili maneno ninapoandika kwa kisawahili.
 
Back
Top Bottom