Bluray
JF-Expert Member
- Mar 25, 2008
- 3,449
- 127
mambo yaliypandikwa hapo juu yanaukweli waafrika tunauchoyo mkubwa na umimi angalia mifano yawaliyopata fursa ni wao na ndugu zao tuu,usomaji wa vitabu hata kwa wazungu unapungua sana hasa baada ya mitandao kuingia walikuwa wanasoma kwa ajili ya upweke,
wao pia ni wachoyo inawezekanaje mtu akaenda kufanya utalii mwezini wakati wengi wanaishi chini ya dola moja si wazilete afrika kwa wavivu wa kufikiri
waafrika imekuwa nguvu kazi miaka nenda rudi wameepeleka maendeleo kwenye nchi za wazungu hata kama walikuw watumwa
hakuna nchi ya mwaafrika ilinyanq'anywa kama vile,austraria,newzealand canada,america ya kusini na kazikazini, kwa wahindi wekuundi waafrika sio wajinga hivyo kama wanavyosema,hata hapo afrika ya kusini walidhani watabaki wamewachia waafrika
bado kitambo kidogo wataona waafrika wanavyokwenda juu
Ukipima kwenye uchoyo mzungu na muafrika mzungu kamzidi muafrika uchoyo, capitalism yenyewe ambayo ndiyo nguzo ya kuendelea kwa western Europe na Amerika imejengwa katika uchoyo, mzungu ame u study uchoyo na kuufanya sayansi ya kiuchumi, akauita capitalism aka get your own.Sisis kama uchoyo tunafanyiana uchoyo wa kitoto tu, tena tunawaiga wao tu.