Ninaomba wana jf tuijadili picha hii.

Mimi nimejiunga hivi karibuni jf.Labd niulize swali.Hivi kutukana kama kuwaita watu majuha,wapumbavu nk ndo kweli hoja zinazohitajika katika forum hii?
Nimegundua kuwa an jf wengi ni wapenzi wa cdm ambacho kinajiita chama cha demokrasia.Nielewavyo mimi Demokrasia ni pamoja na uhuru wa mawzo,sas inakuwje mtu akitoa mawzo badala ya kujibu hoja unatukana?

wewe na wao hakuna tofauti as you have despised them hapo kwenye red. Besides ndiyo siasa hiyo mkuu:teeth:
 
JAMANI, MI NAJUA WAHAYA NI WATU MAKINI SANA, NA WANA MATUSI YA REJAREJA(KAMUZORA). Hebu angalieni kwanza picha ya JK huko ukutani, ilivyochanwa mwacho ikiashiria kuwa JK ni kipofu wa akili. Kwa waliosoma literature, hiyo inaitwa SARCASIM. Ninachomaanisha ni sawa na JK amekaribishwa nyumbani kwa mtu, hapo nyumbani umeme umekatika, halafu huyo mtu anasoma risala kwa kutumia kibatali coz ni usiku alafu kwenye Risala anampongeza JK kwa kumaliza kabisa tatizo la Umeme. So msiwalaumu hao. They are fooling the chairman of CCM. instead tunatakiwa kuwacheka CCM for their bding fooled.

Narudia tena ANGALIENI HIYO PICHA YA JK JUU, inaongea zaidi kuliko maneno ya KAMUZORA
 
mgando mgando...
hata wao wanajua wanabembeleza vyeo... hawako serious!!

mtu mweye akili timamu huwezi kufanya wanachofanya...

ole wao watu wetu wa vijijini waliokwisha amka wajue ujinga huu hapa...

Unategemea nini wamekunywa vodka kuanzia saa 12 jioni mpaka asubuhi saa 12? Intoxication 100%, hawako liable kwa lolote wasemalo wala wafanyalo.
 
nilibahatika kuhudhuria hicho kisherehe uchwara,yan yaliyokuwa yanazungumziwa pale ni upuuzi mtupu,kwan walikua wanahamsisha wa2 wachukue kadi za ccm eti wanawambia hizo kadi zitawasaidia badae,yan hawa viongozi wanaamini wakimaliza masomo watapewa nafasi furan furani serikalini,harafu huyo mwenyekiti dr kamzola hata uraia wake wa2 wana mashaka nao maana inasemekana ana uraia wa nchi mbili na wakati serikali bado haijaruhusu uraia wa nchi mbili,pia inasemekana alikimbia jeshi ndo maana hataki kurudi tz kwa kuogopa kuwekwa ndani,yan ccm-moscow ni vichekesho wengi wao wana uchu wa madaraka hawa hawa ndo walio shirikiana na jaka mwambi kuwarudisha wanafunzi waliokua wanadai na kupinga ufisadi unaofanywa kati na baadhi ya maofisa wa ubalozi na chuo kuwepo kwa wanafunzi hewa na ada zinakuja wao wanakula,njaa na uchu wa madaraka ndo vinawachanganya hawa!
 
Hatuwalaumu sana ni katika ile hali ya kutafuta mkopo ndo maana wameona waanze kujisogeza kwa mkulu,but ni mawazo hafifu na ya kibinafsi hawa ni wasomi na wanajua ukweli ila wameamjua kuufunika.
 
They look lost, tired and confused. Na hii si kwa sababu ya baridi la Moscow
 
hapana kaka picha hiyo haiku chanwa ila ni kioo cha frame ya picha yenyewe ndo ina akisi mwanga ndiyo inaonekana kama picha imechanwa
JAMANI, MI NAJUA WAHAYA NI WATU MAKINI SANA, NA WANA MATUSI YA REJAREJA(KAMUZORA). Hebu angalieni kwanza picha ya JK huko ukutani, ilivyochanwa mwacho ikiashiria kuwa JK ni kipofu wa akili. Kwa waliosoma literature, hiyo inaitwa SARCASIM. Ninachomaanisha ni sawa na JK amekaribishwa nyumbani kwa mtu, hapo nyumbani umeme umekatika, halafu huyo mtu anasoma risala kwa kutumia kibatali coz ni usiku alafu kwenye Risala anampongeza JK kwa kumaliza kabisa tatizo la Umeme. So msiwalaumu hao. They are fooling the chairman of CCM. instead tunatakiwa kuwacheka CCM for their bding fooled.

Narudia tena ANGALIENI HIYO PICHA YA JK JUU, inaongea zaidi kuliko maneno ya KAMUZORA
 
Aibu ya mwaka kwa nyie wanywa VODKA huko urusi kusema uchaguzi haukuchakachuliwa wakati sisi tuliopo nchini tuliopiga kura tunasema ulichakachuliwa. Najua mnajipendekeza kwakuwa mmepata nafasi za upendeleo kwenda huko kusoma ndo maana mnatumia huo ujanja kujibu fadhila. Hivi hamjionei huruma kuwa hata huko mliko mnazurura mahotelini kufanya vibarua vya kuosha vyombo kwa ujira mdogo na wakati mwingine mnafagia barabara, kazi ambazo huku bongo wasomi piga ua hatukubali coz tunafanya kazi tulizosomea. Hamuwaonei huruma wazazi na ndugu zenu wanaozidi kuzama ktk dimbwi la umaskini kwa sababu ya ccm na jk wake nyie mnasherehekea. Ole wenu mrudi nyumbani muone moto mtakapotembea mwaka mzima na vyeti kwenye bahasha bila mafanikio kwa kuwa sera mbovu za ccm zimeshindwa kutengeneza ajira za maana kwa watz na nyie hamuepuki huu mtego hata mjipendekeze vipi....

No more comments
 
  • Ooh yeah, Sare za chama tawala hadi moscow - Good!
  • Kama ni kweli ninayoyaona kwenye pic ya Mh. Rais, naomba hatua stahili zijukuliwe mapema.
  • Maneno ya Kamuzora aongeze lalamiko la kutopata fursa ya kupiga kura once ukiwa nje ya nchi.
  • Rudini Tanzania mmalizapo majukumu yenu huko. Tuyatafute maisha bora kwa kila Mtanzania pamoja. Siyo tufanye juhudi sisi wa huku Mbambabay - Liuli na nyie mfaidi kwa slope. Kwa hilo...:nono:
 
Mbona hawa ni vibaraka tu wanaotafuta umaarufu ili wakirudi nymbani wapate chaka la kujifukia!
 
Jaka Mwambi ni Balozi huko? Hivi yule MAPUA Mapuri bado ni balozi huko uchina? Chill Sauce aka Chiligati naye itabidi ajiandae kwa ulaji kwenye nchi za mashariki.
 
majuha hawa.....illiterates.....hawajui kuchambua maziwa na tui....nadhani kama walienda kupata elimu basi haijawasaidia kitu...wabaki huko huko hadi fikra mgando zitakapowaisha...nonsense n' hopless...mnatia kinyaa...wengine mnaonekana watu wazima...watoto wenu watarithi nini...mbaki huko huko na kizazi chenu chenye mawazo ya kufa...msije mkaongeza matatizo tanzania...


Jaman sio wote, wengi tu hatukwenda na tunajua kuwa kuna walakini katka matokeo..) We lov our country n thus we cant b lyk them...!
 
mi sijali nini wala nini.....wameongea sana.....lakini kitendo cha kupiga picha na Picha ya Rais iliyochanika kimesummarise kila kitu.......eti tawi la CCM Urusi!...hata aibu hamuoni?
 
Mimi nimejiunga hivi karibuni jf.Labd niulize swali.Hivi kutukana kama kuwaita watu majuha,wapumbavu nk ndo kweli hoja zinazohitajika katika forum hii?
Nimegundua kuwa an jf wengi ni wapenzi wa cdm ambacho kinajiita chama cha demokrasia.Nielewavyo mimi Demokrasia ni pamoja na uhuru wa mawzo,sas inakuwje mtu akitoa mawzo badala ya kujibu hoja unatukana?

Hoh my friend dont panic, hayo sio matusi watu wanazungumzia learity wala si swala la chama. Kwani sasa umeme upo? Si ni wa mgao, na shule, barabara na secta zingine si ni baraa tupu! Kwani hayo ni mtusi au kependa CDM. Ndg yangu labda wewe ni wale wanaofaidi matunda ya uhuru wetu kifisadi. Lakini mtu mwenye akili timamu wala si ushabiki wa chama, hawezi kushabikia janga linalo mmaliza kwa dhuluma ya mali zetu.Wewe unataka nchi yote wauziwe Waarabu, tuone kama hutaishi kama mkimbizi kwenye nchi yako!!!!!.Chunga saana Ndg tetea nchi yako Tanzania inayomalizwa kiana!!!. Acha ushabiki wa ukipofu!!!!!
 
OK alitaka tuijadili picha. Ni kweli picha moja ni zaidi ya maneno 1000
"Nadhani PICHA INATOA UJUMBE UFUATAO NA KWA HARAKA NIMEPATA MSG HIZI.

Ujumbe
1. Ni rahisi kutafuta manufaa yangu kuliko ya wengine.Angalao sisi tumeambulia fulana na vinywaji.
2.Ni rahisi kupata mashati mapya ya CCM kuliko kupata picha mpya ya Rais
3. Ni rahisi kunywa kilichoko karibu kuliko kunyanyua mkono na kuondoa picha iliyochakaa.
4. Hata sisi hatukuamini kama raisi huyu hapo juu angerudi hivyo hatukuwaza kupata picha mpya - tulingojea watuletee ya rais mpya na sasa tumelazimika kubaki na huyu huyu.
5. Kwa kuwa walitutuma huku Urusi msifikiri tunashangalia NDIO MAANA HAMUONI TUKICHEKA. Nje tumevaa kijani na njano lakini ndani ni .....
6.Ni rahisi kubadilisha mashati tunayovaa kuliko picha ya kiongozi wa serikali"
7. Hapa tumeambiwa tuje pia tukagawiwa mashati na yeye akasema ili asionekane ametumia pesa bure basi tupige picha. Hatukufurahia hilo la kuburuzwa hata kidogo
 
Back
Top Bottom