Ninaomba mawasiliano ya hawa watu

KiuyaJibu

JF-Expert Member
Aug 29, 2007
841
175
1.Nasreem(Miss TZ 2008)
2.Richa(Miss 2007)
Ninahitaji contacts zao,ni muhimu kwa mustakhabali wetu(Watanzania).
 
1.Nasreem(Miss TZ 2008)
2.Richa(Miss 2007)
Ninahitaji contacts zao,ni muhimu kwa mustakhabali wetu(Watanzania).[/QUOTE]

Eleza umuhimu wa contacts za hawa watu kwa Watanzania, vinginevyo ni Muhimu kwako tu........inawezekana unataka kuoa....!!!!!!!!!

Any way unaweza kuwasiliana na Bw. Hashim Lundenga, bila shaka atakuwa na contacts zao

Kama hujui mahala pa kumpata jaribu pale Sinza nyuma ya Mapambano primary school kuna nyumba moja imetazamana na Pataya guest house. Hapo ndiyo small house yake.
 
Alternatively atafute mtandao wa kamati ya Miss Tanzania kama wanao halafu hayo ya contacts za hao warembo utapata huko.

Mustakabali wa nchi yetu unazungumzia au mustakabali wa mashindano ya urembo?
 
1.Nasreem(Miss TZ 2008)
2.Richa(Miss 2007)
Ninahitaji contacts zao,ni muhimu kwa mustakhabali wetu(Watanzania).
Kama ni kwa ajili ya mambo yale pale sikushauri.......kuna mashori wakali achana na makombo ya Anko Lunde.
 
Nadhani orodha ilikuwa inaendelea including Miss TZ 2009 who could be anybody willing to jig jig with anybody in the Kamati ya Miss Tanzania.
 
Back
Top Bottom