Elections 2010 Ninahoji umakini na uadilifu wa kikwete

politiki

JF-Expert Member
Sep 2, 2010
2,376
1,507
Serikali ya JK ndio ilimfikisha mramba mahakamani kwa ubadhirifu, serikali ya jk ndio ilimlazimisha lowassa kujiuzulu, leo hii bila ya aibu anawashika mkono na kutuomba kuwachagua kuwa viongozi wetu. Hapa ndipo uadilifu na umakini wa kikwete unapoojiwa?

Na siyo kuoji nani kamuoa nani au dini ya mtu au kabila lake au hear say kama alivyofanya KAMARADE kwani vitu hivyo havimsadii mtanzania wa kawaida.
 

serikali ya jk ndio ilimfikisha mramba mahakamani kwa ubadhirifu, serikali ya jk ndio ilimlazimisha lowassa kujiuzulu, leo hii bila ya aibu anawashika mkono na kutuomba kuwachagua kuwa viongozi wetu. Hapa ndipo uadilifu na umakini wa kikwete unapoojiwa?? Na siyo kuoji nani kamuoa nani au dini ya mtu au kabila lake au hear say kama alivyofanya kamarade kwani vitu hivyo havimsadii mtanzania wa kawaida.

if you give kikwete a penny for his thought you'll get a change
 
Huyo anayeanza kuhoji dini ya mtu na maisha binafsi ya mtu hana lolote. Kwani sisi tunachangua malaika? Tunahitaji kiongozi wa kuikomboa Tanzania kutoka kwenye umaskini wa kutupwa. Masuala ya ndoa hayahusiki kabisa na Uongozi. Kuna viongozi wengi mashuhuri duniani akiwemo Mandela, Zuma, Clinton n.k. hawakuwa na rekodi nzuri katika ndoa, yet ni viongozi mashuhuri duniani.

Sijui wewe unafurahia umaskini wa Watanzania? Tanzania ni miongoni mwa nchi tajiri sana duniani lakini watu wake wengi ni maskini wa kutupwa. najua wewe huna shida maana ndo chama hicho hicho cha mafisadi wanaoifilisi nchi hii. Dawa yenu inachemka.
 
kikwete hafai hata kuwa muongoza magari barabarani .... ataanguka pwaaaaa na kusababisha ajali.
 
Back
Top Bottom