Ninampenda kweli huyu mwanaume

Hizi mambo ni complicated smile bana! ukichukua tahazari sana basi zitakutia wazimu tu. Lakini amini kitu kimoja, kama amekupenda kweli kweli basi atasubiri mpaka ndoa ilimradi tu usimuoneshe kwamba unamsubirisha kwa kumkomoa au akahisi unaringa, namaanisha ukuwe na sababu za msingi za kumsubirisha.
anasema kama sitaki kumpa tusitafutane wala nisiende kwake tena maana ninamtega tega bila sababu.si ndo anataka kuniacha hivo jamani? nataka nikae tufanye mambo yote .tuinjoy pamoja except sex i wish ingewezekana
 
Mkuu, hivi kusubiri mpaka ndoa ndo ishara ya upendo? yaani sie tuliomegana kabla ya ndoa hakuna upendo hapo? tatizo madem wanataka kutumia sex as guranteed ya ndoa? yeye bana kama wanapaendana ajiachiee tu kama Rose anavyosema ndoa matoke bana
 
nin aiwezekan?
jaman..mshapima angaza
anakupenda
unampenda
ushamchunguza kwa miez
WHAT ELSE DO U WANT MADAM?
nina mashaka nawe una mpango kando mwngne so unshindwa wap ufanye major wap pawe option?
acha dilema zako CHOOOOOOOSE ONE mam....!!!!!!!!!!!!
 
anasema kama sitaki kumpa tusitafutane wala nisiende kwake tena maana ninamtega tega bila sababu.si ndo anataka kuniacha hivo jamani? nataka nikae tufanye mambo yote .tuinjoy pamoja except sex i wish ingewezekana
Kwa nini un aogopa kusex?
 
Mkuu, hivi kusubiri mpaka ndoa ndo ishara ya upendo? yaani sie tuliomegana kabla ya ndoa hakuna upendo hapo? tatizo madem wanataka kutumia sex as guranteed ya ndoa? yeye bana kama wanapaendana ajiachiee tu kama Rose anavyosema ndoa matoke bana

umeona enhh?
et mpk ndoa ndo upendo mhh?

may b sjui nini comprise kitu UPENDO

NA kwa maisha ya siku izi wanaume wenyewe wamekuwa PUNGUFU KIMAUMBILE...mara adind.mara akidinda asastain mda mrefu.mara kibamia...wat i c kupimana b4 muhimu....km kinanitosha au km kibamia km cha mtoto wa nasar tupa kule...lakin kujifanya wataka fumbo la utatu mtakatifu ulivumbue pale pale my dia get ready for suprise ...ushangai kukuta bwabwa au kipenseli....mhhhhh stak jaman ebu nkachambue matembele yangu mie:flock:
 
ngoja nikuulize.....wasi wasi wako uko wapi? yaani naamanisha HOFU KUU ni ipi kwako....kwa maneno mengine kwa nini humuamini..tuanzie hapo then ntakusaidia
 
Rose mambo?

mambo poa ndgu yangu sjui wewe uliye mbali na upeo wa macho yangu....ahh nachek apana i debate

SEX vs UPENDO
MKISEX NDO UPENDO?a
MKISEX NDO AMUACHANI
MKISEX B4 NDOA AMPENDAN
JE UKIMPENDA LAZIMA UMPE?
JE NISIMPE ILI NIENDELEE KUWA NAYE......ahh folder Aalifunguk tena......njoo uku tule pitiku na ugali bana
 
anasema kama sitaki kumpa tusitafutane wala nisiende kwake tena maana ninamtega tega bila sababu.si ndo anataka kuniacha hivo jamani? nataka nikae tufanye mambo yote .tuinjoy pamoja except sex i wish ingewezekana
Sasa hii kujifanya wakristo wa hollywood ndio mbaya hii, yaani mambo yako unataka yaende kiimani lakini at the same time mnabehave kihollywood hapo hata mimi ningeshindwa bana. Unajua ili upate mwanaume ambae atakubali msisex mpaka ndoa ni lazima ubehave kiimani imani zaidi. No kuteganaz and no outings ambazo zitapelekea kuchafua nguo za ndani. No kukumbatiana kijinga jinga hapa namaanisha inabidi usiweke mazingira ya kusumbua hisia za mwenzio.
 
umeona enhh?
et mpk ndoa ndo upendo mhh?

may b sjui nini comprise kitu UPENDO

NA kwa maisha ya siku izi wanaume wenyewe wamekuwa PUNGUFU KIMAUMBILE...mara adind.mara akidinda asastain mda mrefu.mara kibamia...wat i c kupimana b4 muhimu....km kinanitosha au km kibamia km cha mtoto wa nasar tupa kule...lakin kujifanya wataka fumbo la utatu mtakatifu ulivumbue pale pale my dia get ready for suprise ...ushangai kukuta bwabwa au kipenseli....mhhhhh stak jaman ebu nkachambue matembele yangu mie:flock:
Si ndo apo? ampe kitu roho inapenda..................kwa kizazi cha dot.com hii mambo ni kama hadithi tu..! eti mpaka ndoa
 
Mkuu, hivi kusubiri mpaka ndoa ndo ishara ya upendo? yaani sie tuliomegana kabla ya ndoa hakuna upendo hapo? tatizo madem wanataka kutumia sex as guranteed ya ndoa? yeye bana kama wanapaendana ajiachiee tu kama Rose anavyosema ndoa matoke bana
Nisome tena vizuri mkuu, kuna point unaimiss.
 
ahhh jaman nimepata jibu kwanin bibie HATAK kutoa chezo...

pls SOMENI SIGNATURE YA SMILE...u wl undstand.....:crazy:
 
mambo poa ndgu yangu sjui wewe uliye mbali na upeo wa macho yangu....ahh nachek apana i debate

SEX vs UPENDO
MKISEX NDO UPENDO?a
MKISEX NDO AMUACHANI
MKISEX B4 NDOA AMPENDAN
JE UKIMPENDA LAZIMA UMPE?
JE NISIMPE ILI NIENDELEE KUWA NAYE......ahh folder Aalifunguk tena......njoo uku tule pitiku na ugali bana
Ngoja nije bana tuonyeshane upendo..... ooops sex....noooo....naja kukuowowa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom