ninampenda anayenipenda tu..........

AshaDii majibu ni yaleyale..................kama huwezi kumpata huyo ana wenyewe kwa hiyo siwezi kumpenda...................loving someone ought to have practical application...........................hakuna wakati wa romantic delusions....................au itakuwa ninapotea muda bure...............and time is cash

Hongera saana..... You seem to be SO Lucky that you brain chooses of whom your heart should fall for....
 
Mtoa thread nakuliza swali moja tu.

Je kama unapenda wanawake 10 na wote 10 wanakupenda utafanya vipi.

Mana wewe unasema unawapenda wanao kupenda, sasa utafanya vipi, mana kupenda wanawake 10 sio mchezo.
 
Hongera saana..... You seem to be SO Lucky that you brain chooses of whom your heart should fall for....

ni baada ya kuumizwa sana nikapata busara..........zamani nilikuwa ninavumiliz maumivu...........kisa nimevutwa nikavutika huku nikijua hata sipendwi............................this is more than physical sex as some may tend to hallucinate.........it is more than that..........
 
Mtoa thread nakuliza swali moja tu.

Je kama unapenda wanawake 10 na wote 10 wanakupenda utafanya vipi.

Mana wewe unasema unawapenda wanao kupenda, sasa utafanya vipi, mana kupenda wanawake 10 sio mchezo.

fazaa hilo ni swali zuri lakini ukweli wabakia palepale ya kuwa katika hao 10 haiwezekani wote wanipende sana..................lazima kuna mmoja atanipenda zaidi nami nitazama kwake..............
 
mtoa thread nakuliza swali moja tu.

Je kama unapenda wanawake 10 na wote 10 wanakupenda utafanya vipi.

Mana wewe unasema unawapenda wanao kupenda, sasa utafanya vipi, mana kupenda wanawake 10 sio mchezo.

ahahahahaahaaaaaaaaaaaaaaaaa_adopt my love style...you will enjoy.....wewe tamani tu wala ucpende.
 
Chezea mapenzi ww, moyo ukifunguka utaona 2, hupendi ww, moyo ndo unaopenda.

suala ni nidhamu....lazima ujenge tabia ya kuthibiti matakwa ya kimwili...utaishi kwa raha mustarehe.......
 
ahahahahaahaaaaaaaaaaaaaaaaa_a dopt my love style...you will enjoy.....wewe tamani tu wala ucpende.

yaani hata kama anakupenda ikukweliukweli bado utaendelea kumtamani badala ya kumpenda?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom