ninampenda anayenipenda tu..........

Nimeipenda hii na hasa ukiwa na hii mihela ya kifisadi i.e ukiwa mfanyakazi wa halmashauri ya Kishapu.

chunga usije ukasafishwa kama yule naibu waziri kule moro hotelini..........
 
Maumivu utayatoa wapi wakati ulitamani tu....issue ni mbaya kama unapenda_hapo tarajia maumivu mkuu.

ni vigumu kutofautisha kutamani na kupenda........................unapotamani ni rahisi kufikiria kuwa umependa...........
 
umhonge ili iwe nini?...............si atakuachia maumivu baadaye.....................huwezi kununua penzi la kweli linatakiwa lije lenyewe tu...............

Mkuu_siku hizi kama unataka penzi la kweli ni lazima ugharamie.
 
Haya ndo madhara ya kuzaliwa Afrika kwenye wabaya wengi kuliko wazuri hili swala la kung'ang'ana kupenda usipopendeka kisa eti mzuri nikimpoteza sitapata mwingine wa levo zake linaleta manyanyaso sana kwenye mioyo ya watu.Ukitaka kuungana na mtoa maada hakikisha unaingia kwenye mahusiano bila shinikizo lolote la muönekano au uwezo.

wazuri hapa Afrika mbona ni tele................ni jicho lako tu lina wasiwasi...........
 
Ndg huu msimamo wako ni hatari sana, wengi walijaribu huu msimamo na kujikuta wanaachwa na maumivu makali baada ya kuinvest muda wao mwingi na rasilimali zao. Ni hatari sana maana ni kama probability!

ni kweli cheleachela mwana kulia utalia mwenyewe.............
 
hivi kuna faida gani kuhadahiwa na maumbile yenye mvuto halafu ukamshupalia mtu ambaye hana harufu hata ya kukupenda? Mimi wenzangu ninampenda yule tu anayenipenda.........mambo mengine hapana...............sitaki kuachiwa maumivu.............lol

na wewe unapenda anayekupenda au acha tu uumie kufurahisha macho yako kwa kudai uzuri wake ndiyo umekuponza..................................au twafanana........kwa maana ya kuwa......hauko tayari kuteseka kwa lionalo jicho lako na kuvutwa na huku moyo wake wajua hampo naye pamoja....mwenzio bado anaangazaangaza kwingineko lakini siyo kwako.....nipe khabari.................jianike hapa

mpende akupendae asiye kupenda achana nae..ya nini kubeba zigo la moto wakati unajua kabisa huwezi kulifikisha..kumpenda mtu asiyekupenda huku ukijipa moyo ni sawa na kumkumbuka mtu ambaye hujawahi kumuona...
Maisha yenyewe mafupi hamna haja ya kujichosha..
 
Mapenzi yamekua magumu Ruta.... It is so complicated. Je unapopenda inapotakiwa usipende? Ama je unapopenda mtu ambae huwezi kua nae? I don't think hilo ni sawa kila mara....
 
ni vigumu kutofautisha kutamani na kupenda........................unapotamani ni rahisi kufikiria kuwa umependa...........

Sisi wakongwe wa style hii ya mapenzi(ya kutamani na sio kupenda)ni rahisi sana kutofautisha kati ya kupenda na kutamani_ngumu kwenu nyie mnaopenda kweli kweli.............anyway usijali..jaribu utaipenda hii style...i guarantee kamwe hautaumizwa na kitu hii inaitwa mapenzi.

NB:Sio tabia njema_do it for......ahahahahahaaaaaaaaaaaaaa
 
Mkuu, mambo ya "anayenipenda" kwa sasa ni Historia!
Sasa hivi ni kwa hela yako babaake!

hata tujidanganye vipi tumeumbwa tupendane...........kama hujapenda na kupendwa ujue maisha huwezi kuyafaidi kama Muumba alivyokusudia............utakuwa mtu wa kujilaumu tu..................
 
Sisi wakongwe wa style hii ya mapenzi(ya kutamani na sio kupenda)ni rahisi sana kutofautisha kati ya kupenda na kutamani_ngumu kwenu nyie mnaopenda kweli kweli.............anyway usijali..jaribu utaipenda hii style...i guarantee kamwe hautaumizwa na kitu hii inaitwa mapenzi.

NB:Sio tabia njema_do it for......ahahahahahaaaaaaaaaaa aaa

kama ni shortie time hiyo is no love...................hiyo tunaita bora liende....................na penzi la kweli lazima liwe la kudumu.......
 
penye udhia ukiweka rupia ujue hilo siyo penzi la kweli hata chembe.........

Unatakiwa ucheze muziki kutokana na midundo yake mkuu...kama wenyewe wanaamini bila rupia no love,then you go the same way...provide what they need.
 
Mapenzi yamekua magumu Ruta.... It is so complicated. Je unapopenda inapotakiwa usipende? Ama je unapopenda mtu ambae huwezi kua nae? I don't think hilo ni sawa kila mara....

AshaDii majibu ni yaleyale..................kama huwezi kumpata huyo ana wenyewe kwa hiyo siwezi kumpenda...................loving someone ought to have practical application...........................hakuna wakati wa romantic delusions....................au itakuwa ninapotea muda bure...............and time is cash
 
Unatakiwa ucheze muziki kutokana na midundo yake mkuu...kama wenyewe wanaamini bila rupia no love,then you go the same way...provide what they need.

penye udhia nikiweka rupia ujue huyo simhitaji na kuna siku nitamwaga bila ya huruma hata chembe...................love must be unconditional..................
 
Yeah_by the way...short time is good na tamu..ahahahhahaaaaaaaaaaaaaa

you are damn right
..........that it is just that short time and in dire need of renewal because the reservoir fills back no sooner you eject yourself into her.........
 
hivi kuna faida gani kuhadahiwa na maumbile yenye mvuto halafu ukamshupalia mtu ambaye hana harufu hata ya kukupenda? Mimi wenzangu ninampenda yule tu anayenipenda.........mambo mengine hapana...............sitaki kuachiwa maumivu.............lol

na wewe unapenda anayekupenda au acha tu uumie kufurahisha macho yako kwa kudai uzuri wake ndiyo umekuponza..................................au twafanana........kwa maana ya kuwa......hauko tayari kuteseka kwa lionalo jicho lako na kuvutwa na huku moyo wake wajua hampo naye pamoja....mwenzio bado anaangazaangaza kwingineko lakini siyo kwako.....nipe khabari.................jianike hapa

dats true kabisa yan!, unaweza ukang'ang'ania dem pin ukajihangaisha kumbe mwenzako ndo analingia uzuri wake wala hakupendi kweli, anakuchora tu!
 
dats true kabisa yan!, unaweza ukang'ang'ania dem pin ukajihangaisha kumbe mwenzako ndo analingia uzuri wake wala hakupendi kweli, anakuchora tu!

Geofrey_1 tuko pamoja ya nini mtu akutaabishe huku mawazo yake yako kwa mwingine na wewe ukose usingizi bila hata ya sababu ya maana...........bora umjali yule anayekujali..........
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom