ninampenda anayenipenda tu..........

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
219,470
911,173
hivi kuna faida gani kuhadahiwa na maumbile yenye mvuto halafu ukamshupalia mtu ambaye hana harufu hata ya kukupenda? Mimi wenzangu ninampenda yule tu anayenipenda.........mambo mengine hapana...............sitaki kuachiwa maumivu.............lol

na wewe unapenda anayekupenda au acha tu uumie kufurahisha macho yako kwa kudai uzuri wake ndiyo umekuponza..................................au twafanana........kwa maana ya kuwa......hauko tayari kuteseka kwa lionalo jicho lako na kuvutwa na huku moyo wake wajua hampo naye pamoja....mwenzio bado anaangazaangaza kwingineko lakini siyo kwako.....nipe khabari.................jianike hapa
 
Mimi kama wewe, nampenda anaye nipenda...asiye nimpenda, simpendi yeye na family yake na majirani zake :biggrin1:
 
Kaka, unachosema ni kweli tupu, lakini ndugu yangu moyo huu, moyo ni kama kipofu ....! unapenda popote tu huu moyo hauna maana hata kidogo! Mara nyingi akili na fahamu hutambua kuwa umekosea lakini moyo hung'ang'ania sijui una matatizo gani! Saa nyingine hata muonekano na uzuri wa macho hauhusiki lakini moja unajipeleka tu! Laiti kama moyo ungeweza kufuata sheria za akili, kwa kweli maisha ya mahusiano ya duniani yangekuwa poa sana.

Ila mkuu naungana na wewe kama unaweza kuushinda na kuadabisha moyo upende tu yule anayekupenda, hilo ni jambo jema sana.
 
hivi kuna faida gani kuhadahiwa na maumbile yenye mvuto halafu ukamshupalia mtu ambaye hana harufu hata ya kukupenda? Mimi wenzangu ninampenda yule tu anayenipenda.........mambo mengine hapana...............sitaki kuachiwa maumivu.............lol

na wewe unapenda anayekupenda au acha tu uumie kufurahisha macho yako kwa kudai uzuri wake ndiyo umekuponza..................................au twafanana........kwa maana ya kuwa......hauko tayari kuteseka kwa lionalo jicho lako na kuvutwa na huku moyo wake wajua hampo naye pamoja....mwenzio bado anaangazaangaza kwingineko lakini siyo kwako.....nipe khabari.................jianike hapa

Kwa lugha nyingine mkuu ni kwamba, hata kama ulikuwa huna harufu ya kumpenda lakini yeye akakudondokea then you'll learn to love her, right?
If that's so then you can learn how to make somebody learn to love you back, it's simple. Wanna know how??
Wait kitabu changu cha mapenzi "How to turn somebody into lovong you" kitatoka soon:target:
 
Mimi napenda ninayempenda na kuvutiwa naye baasi suala la yeye kunipenda atajifunza akiwa na mimi na ata-regret kuchelewa kunipenda.
 
Mimi kama wewe, nampenda anaye nipenda...asiye nimpenda, simpendi yeye na family yake na majirani zake :biggrin1:

yeah...hakuna uhaja wa kuumiza kichwa na mtu ambaye unaona hana mwelekeo hata chembe......
 
Mimi napenda ninayempenda na kuvutiwa naye baasi suala la yeye kunipenda atajifunza akiwa na mimi na ata-regret kuchelewa kunipenda.

hii ni kali.....yaani hata kama hakukubali basi utahangaika naye mpaka umwingize kingi..........................ipo kazi naona maumivu makali yanakusubiri.........
 
Kwa lugha nyingine mkuu ni kwamba, hata kama ulikuwa huna harufu ya kumpenda lakini yeye akakudondokea then you'll learn to love her, right?
If that's so then you can learn how to make somebody learn to love you back, it's simple. Wanna know how??
Wait kitabu changu cha mapenzi "How to turn somebody into lovong you" kitatoka soon:target:

kheri nimpende hata kama hajanivutia ili mradi awe yeye anaonyehsa kunipenda........
 
Better be alone than...........

true than living with a monster hidden in a beautiful body and an occasional smile...................just to hoodwink to accept more punishment.............................emotional stress and much more........
 
Ndio mpango mzima!...sema wengine huwa hatupendi kivile_huwa tunatamani tu.

jiwekee mipaka tamani yule ambaye anakutamani...........full stop na yule ambaye hakuhitaji kaa naye mbali ili asije kuachia maumivu....
 
Mimi napenda ninayempenda na kuvutiwa naye baasi suala la yeye kunipenda atajifunza akiwa na mimi na ata-regret kuchelewa kunipenda.

Ndg huu msimamo wako ni hatari sana, wengi walijaribu huu msimamo na kujikuta wanaachwa na maumivu makali baada ya kuinvest muda wao mwingi na rasilimali zao. Ni hatari sana maana ni kama probability!
 
mpende akupendae asiekupenda muhonge..

umhonge ili iwe nini?...............si atakuachia maumivu baadaye.....................huwezi kununua penzi la kweli linatakiwa lije lenyewe tu...............
 
Haya ndo madhara ya kuzaliwa Afrika kwenye wabaya wengi kuliko wazuri hili swala la kung'ang'ana kupenda usipopendeka kisa eti mzuri nikimpoteza sitapata mwingine wa levo zake linaleta manyanyaso sana kwenye mioyo ya watu.Ukitaka kuungana na mtoa maada hakikisha unaingia kwenye mahusiano bila shinikizo lolote la muönekano au uwezo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom