ninammic sana mpenzi wangu!

Nenda kwenye Party ya JF. Everyone who is everyone will be there. Sto broodind.
 
Unammisi au unamisi ile kitu mnafanya ya kutengeneza watoto?
Ukiwa unajishughulisha mbona utakuwa bize usimkumbuke sanaaaaaaa!
 
ni mpenzi sio tunamalengo makubwa sana! ila nimeuliza kwa wale wenye experience ya kukaa na wapenzi wao mbali kama hauna experience hauwezi nishauri!
 
Check PM bidada kuna bonge la solution huko nimekuweke au unataka hadi nimwage kuku hapa??
ni mpenzi sio tunamalengo makubwa sana! ila nimeuliza kwa wale wenye experience ya kukaa na wapenzi wao mbali kama hauna experience hauwezi nishauri!
 
Get a new hobby, angalia movie, soma vitabu, ama tafuta project ya kukuweka busy.
Tafuteni njia ya mawasiliano ya mara kwa mara. Lol, nimekumbuka post cards, that was nice! Kila mji mtu akipita ananunua anatuma.
 
Mie nipitilize nilitia maguu kasi , nikidhani umem'miss Yesu! Kumbe dooo! Hii sina uzoefu !
 
Acha kujilegeza wewe, miezi mitatu tu unaanza kulalama, wengine hapa tuna miezi 6 hatujawaona wapenzi na bado itatuchukua kama mwaka hivi kuwaona na bado tunajipa moyo wa kusonga mbele, Jikaze kiume

Huku ndio kujikaza kwa aina gani tena? Je kama mtoa hoja ni ke atajikaza vipi kiume?
 
Mwone dina marios anauza yale mambo bei mchekea kabisa
 
Fanya Mazoezi kwa sana hii itakupa ahueni ya kusahau na kupata usingizi mnono usiku
 
Mmmmh!!!!!!!!!!!!!! ndo ushauri gani huo mkuu? sometimes silence can help to shield your ignorance
 
habarini wana jf,mwenzenu ninammisi sana mpenzi wangu kwasababu yuko mbali, naomba ushauri kwa wenye uzoefu wa kukaa mbali na wapenzi wao hadi wakazoea nifanyaje,ili niweze kuzoea hii hali?naombeni ushauri wakuu!
kuwa busy na kazi zako,mawasiliano kila mara bila kusahau uvumilivu ndo nguzo ya uhusiano wenu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom