ninammic sana mpenzi wangu!

Pretty-baby

Member
Jan 25, 2012
56
7
habarini wana jf,mwenzenu ninammisi sana mpenzi wangu kwasababu yuko mbali, naomba ushauri kwa wenye uzoefu wa kukaa mbali na wapenzi wao hadi wakazoea nifanyaje,ili niweze kuzoea hii hali?naombeni ushauri wakuu!
 
Kama ni mme wako basi fanya subra.

Kama ni bf basi bora mana mtapunguza kudanganyana.
 
nisha kusoma ww ni cheche tu, coz km unaomba ushauri hapa wat if mtu akakwambia tafuta replacement si dat mins ndio unampotezea huyo mwandani wako, hw long utaendelea kufanya hivyo coz kutokana na maisha yalivyo hakuna kipindi ambacho utakaa karibu forever na umpendae so try to cope wth the environment pls na sahau mapenzi ya njiwa, dis is hw we du
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom