Ninaliogopa sana jambo hili katika ndoa!!

Pindima

JF-Expert Member
Aug 16, 2011
347
81
NINALIOGOPA SANA JAMBO
HILI: Amini usiamini, lakini huu
ndio ukweli wenye uchungu!
Hakuna jambo ninalolihofia zaidi
ktk maisha ya ndoa kama
kusalitiwa Na ndio linitialo khofu kuoa! Hiyo
inatosha kuwa silaha ya kuubomoa
moyo wangu, kuiteketeza
nafsi yangu na kuikatili ndoa
yangu na kusambaratisha kabisa!
 
.
Nenda upadre
 
baki mseja, amini usiamini bado kuna watu waaminifu inategemea unaoa mtu wa aina gani.
 
baki mseja, amini usiamini bado kuna watu waaminifu inategemea unaoa mtu wa aina gani.

Ajari zinatokea kwa kupangwa au kwa bahati mbaya. Omba nawe utapewa...ukiendelea kuogopa usijari maana utakufa siku si zako.
 
baki mseja, amini usiamini bado kuna watu waaminifu inategemea unaoa mtu wa aina gani.

Hilo la msingi sana ila kumpata ndio tatizo!!leo kaka yangu mkubwa chozi limemtoka kwaajili ya hilo jambo!!
 
Usiogope kaka, haya maisha ukiwa muoga muoga hutofika popote. Sio tu kwenye mahusiano, hata siasa na biashara hazihitaji uoga. Chagua mtakayependana. Si wanawake wote ni wasaliti.
 
na hata asipooa, hata kuwa single kuna chalenji zake.

Ni kujitahidi na kuishi kwa furaha na aliyepo hadi utakapomfuma.

Ajari zinatokea kwa kupangwa au kwa bahati mbaya. Omba nawe utapewa...ukiendelea kuogopa usijari maana utakufa siku si zako.
 
Usiogope kaka, haya maisha ukiwa muoga muoga hutofika popote. Sio tu kwenye mahusiano, hata siasa na biashara hazihitaji uoga. Chagua mtakayependana. Si wanawake wote ni wasaliti.

Na ni ngumu kumpata asiye msaliti!!tufumbe macho tu tujifanye hatuoni!!
 
NINALIOGOPA SANA JAMBO
HILI: Amini usiamini, lakini huu
ndio ukweli wenye uchungu!
Hakuna jambo ninalolihofia zaidi
ktk maisha ya ndoa kama
kusalitiwa Na ndio linitialo khofu kuoa! Hiyo
inatosha kuwa silaha ya kuubomoa
moyo wangu, kuiteketeza
nafsi yangu na kuikatili ndoa
yangu na kusambaratisha kabisa!
Unachotakiwa kuogopa ni kujuwa kama unasalitiwa...
si kusalitiwa
 
Dah mimi inaniuma sn aise...yani nijitahidi kuwa muaminifu afu kumbe mwenzangu anaachia tu...dah..!!
 
Unachotakiwa kuogopa ni kujuwa kama unasalitiwa...
si kusalitiwa

Nafikiri watakiwa uogope kitu ambacho bado hakijakupata lkn kikikupata huna cha kukiogopa ila watakiwa ukifec na kukipatia suluhisho!!
 
Waaminifu wapo,kikubwa uckurupuke, mshirikishe Mungu kwnye kumchagua m2 sahihi..mambo ya kuchagua mke/mume hayahitaji haraka unless otherwise lazma ujute
 
Back
Top Bottom