Ninakupenda sana CCM yangu

Kiumbe duni

Senior Member
Dec 3, 2011
100
8
Siku zote huwa ninawaambia watu watuache na ccm yetu wasituingilie. Ugua pole Mwakyembe, ila hatujui unaumwa nini kwa vile polisi wameshasema hujalishwa sumu.
 
Kama hautaki kuingiliwa na CCM yako,tuachieni nchi yetu halafu hama na chama chako mkatawale mawe kwenye sayari ya Mars kwa sababu hayo hayatawauliza kwa nini mnaendesha nchi kama kikundi cha mchezo wa karata tatu.
 
Nani awaache wakati wewe na Raisi,Mawaziri,Makatibu wakuu,wakuu wa vitengo muhimu Jeshi la Polisi,Magereza,Bunge,Mikoa,wilaya wote mumejaa uongo wa kutukuka ,kila mtu na hamsini zake mumeshindwa kutawala nendeni katikati ya bahari mukajizike hamna maana na CCM yenu
 
Siku zote huwa ninawaambia watu watuache na ccm yetu wasituingilie. Ugua pole Mwakyembe, ila hatujui unaumwa nini kwa vile polisi wameshasema hujalishwa sumu.
Manaingiliwaje? kwa mbele au nyuma, usitake kutukanwa asbh hii, utaharibu siku yako. Ondoa umwanaasha wako kwa great thinkers:kev:
 
Kweli unaupenda ujinga wako. Nakutakia kila la heri. Kama hutaki tuwaingilie, msiingie anga zetu. (Watz wazalendo)
 
Siku zote huwa ninawaambia watu watuache na ccm yetu wasituingilie. Ugua pole Mwakyembe, ila hatujui unaumwa nini kwa vile polisi wameshasema hujalishwa sumu.
Nahisi utakuwa unapenda na mambo yake kama hayo apo pichani.
 
Attachments

  • Mauaji ya Jeshi la Polisi Arusha.jpg
    Mauaji ya Jeshi la Polisi Arusha.jpg
    26.5 KB · Views: 45
  • MAITI.jpg
    MAITI.jpg
    38.3 KB · Views: 41
Siku zote huwa ninawaambia watu watuache na ccm yetu wasituingilie. Ugua pole Mwakyembe, ila hatujui unaumwa nini kwa vile polisi wameshasema hujalishwa sumu.

Wewe mwenyewe Kiumbe Duni baki na ccm yako duni, siasa imara hutaziweza.
 
Watu mna hasira na hiki chama, sijui kwa nini.....! Nisameheni kama nimewakosea, ila mkae mkijua hii ndio ccm ukitoka nje ya mstari wetu hata kama tulikuwa pamoja tunakutosa.
 
k**a yako uliyepost hii thread!Nahic una dalili ya u*****a wewe!Kwa jema lipi chama cha majangili mliloitendea nchi hii?**** u!mother ****er!
 
Huwatakii members wa jf mema we Victoria Kamata,wengi watapigwa ban kwa ajili yako,ni bora mods huu uzi mpeleke kwenye dustbin!haufai!idiöt k/duni
 
Back
Top Bottom