Ninaking'amuzi cha kutabua ID zenu wote JF!

  • Wengine mademu wanajifanya majibaba!
  • Wengine majibaba wanajifanya mademu!
  • Wengine maroboti wanajifanya binadaamu!
  • ...............................................................
  • ..............................................................

Nahisi we uko kundi hili.....:shock:
 
  • Wengine mademu wanajifanya majibaba!
  • Wengine majibaba wanajifanya mademu!
  • Wengine maroboti wanajifanya binadaamu!
  • ...............................................................
  • ..............................................................

Kazi huna, waliotengeneza hicho king'amuzi ni wajinga sana. Wambie watengeneze cha kutambua wanaosabisha ajali barabarani.
 
Back
Top Bottom