Ninakerwa na WANAOUTAFAFUTA URAIS sasa

pilau

JF-Expert Member
Aug 16, 2012
1,593
443
Wakuu JF, nisaidieni, ninakerwa sana na watu wanaotamka kugombea Urais wa 2015 hii inanikera kwa pande zote iwe upinzani na hata hao walioko madarakani, Kikatiba katika kila hali hakuna ubaya wa kutangaza nia ya jambo lolote au nia ya kitu chochote lakini busara inawekwa wapi katika jambo hili hasa ukizingatia muda muafaka bado? Tunawapa ushauri gani watu kama hawa?
 
Back
Top Bottom