Ninajuta kwa niliyoyafanya

Wewe sio wa kwanza wala wa mwisho, kuna watakaosoma waraka wako na watakosea kama ulivyokosea.

Kampani zinapoteza sana, pole mdogo wangu.

Jisamehe kwanza wewe then life goes on....
 
Huyo ameshaoa tafadhali heshimu ndoa za watu.nafasi unayo ya kumpata umpendae na soon utamsahau huyo kaka.
 
Kwasasa my dear jisamehe nafsi yako na usonge mbele. Yaliyopita yamepita huwezi kuedit ya nyuma.... Usiendelee kuishi past yako ishi ya sasa
 
Wewe kiufupi unapenda ganda la ndizi,alikua anakuhudumia (ganda la ndizi)chuo ukapata wengine wajakupa pesa za kutosha (ganda)ukamaliza chuo hawapo tena,sahivi unamsikia yule kaka kafanikiwa sana unamtamani(ganda) KIFUPI NI KAMA UNAJIUZA JAPO HAUJIPANGI BUGURUNI.
 
Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 25, ni mhitimu wa shahada ya kwanza katika chuo kimoja hapa Tanzania, sijaolewa na kwa dini mimi ni mkristo wa kuzakliwa na kubatizwa.

Katika maisha yapo mengi ambayo mtu unaweza kuyafanya na baadae ukajutia kwa nini umeyafanya na akili gani imekutuma uyafanye, binafsi najuta kwani nimekuwa mpumbavu kiasi hiki, najuta kwa nini nilifanya haya yote na kwa akili gani ilinituma niyafanye haya, inawezekana May be it was not planned but why I did this?

Nakumbuka nikiwa secondary nilikutana na handsome boy mmoja ambaye namfahamu hadi kwao, sikujua intention yake by then but I think nilikuwa mtoto. huyu mkaka aliniita sehemu mbalimbali nilikubali kuwa nakutana nae and the guy was very decent til now the guy is decent, hakuwahi kunionesha kama ananitaka kimapenzi kwa kipindi chote ambacho nimekuwa naye, alikuwa ananisaidia sana by then na soon b aada ya kuingia chuo, aliniomba tuwe wapenzi, sikukubali wala sikukataa, nilibaki katikatikati ila nilikuwa naendeshwa na mkumbo wa shule sababu sikujua kama ule muda was right for to make a very huge decesion.

Nilikubali baadae lakini nilibadilishwa sana na upepo wa chuo sababu niliwekeza kwenye bata zaidi bila ya kuangalia mbele yangu, baadae niliamua kumkataa kabisa huyu kaka sababu hakuwa karibu na mimi na kingine nilipata watu wengine ambao walikuwa karibu na mimi na nilikuwa napewa pesa ya kutosha so to me life nililiona zuri sana. yule kaka hakutaka sana malumbano na mimi na baada ya kugundua aliamua kuendelea na maisha yake na naskia ameoa tayari.

Maisha yanaonekana magumu sana kwangu soon baada ya kumaliza chuo na kurudi nyumbani, ueklekeo umebadirika kabisa na sijui mwisho wake ni upi, kama kaka huyu atasoma haya maneno yangu na kuhisi machungu yangu naomba sana anisamehe kwa yote, I wish nirudishe wakati nyuma, kampani na wale wote walionidanganya hawapo tena karibu yangu, nimekaa nyumbani hata kazi sina, sina kitu na sina pakujishikiza, I feel so much pain.

Kitu kingine kinachoniumiza zaidi tena sana naskia yule kaka amefanikiwa sana kwa sasa, napata wakati mgumu sana kama nitapata mtu mwenye maisha ya upendo na mazuri kama yeye, marafiki zangu kila nikiomba ushauri wako wananisema na kunilaumu, najua nishakosea ila naomba ndugu zangu mnishauri nifanye nini? mimi sio wa kwanza kukosea, maisha najua yataendelea lakini je kwa style ipi?

Najuta sana na kila nikisikia mtu anamuongelea huyu kaka naskia kama nataka kupasuka, nikialikwa harusini nashindwa kwenda sababu nahisi nayeye atakuwepo kwani asilimia kubwa ya watu anaowafahamu nawajua pia, nina wakati mgumu sana naomba mnishauri
eeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee majuto ni mjukuuu bora yamekukuta kwa sasa .........nenda kasikilize wimbo wa ,,,timbelake ..unaitwa apologise ,,,,,hahahahahahaha ....haya maisha bwana
 
ndio mim unanisema huku eeeeeeeh ila ulilinga sana nikikupigia haupokei sms unaajibu baaada ya weeek .....daaaaaahhh wanachuo bhana
 
Wewe shida yako ni kukosa tu kazi na maisha kukuzomea ila seem upendo haupo moyoni mwako na hata ukipewa second chance bado utakuja kuishi katika rangi yako halisi! Mwache kaka wa watu aendelee na maisha yake, unapaswa kujitambua sasa na kuwa fundisho kwa wenye tabia kama zako!
Swadakta hilo jambo lipo hivyo hana upendo wowote nenge linamsumbua huyo ndo anataka baby comeback njaa mbaya sana unakuja kujifunika shuka kijua kilee.
Watu aina yako mimi huwatosa kama walivyo nitosa kuanzia moja si ujinga wala hujutii isipokuwa dunia imekupa mgongo ndo unamkumbuka jamaa.
 
Mpo wengi Wa namna yako.....mnapenda sana masharobaro sie ma life hunter na madecent mwatuona hatuna jipya....when it comes to life itself ndo mwatukumbuka Bahati mbaya mnakuwa mshachelewa tiyari......anyway pole sana
 
Nashukuru Mungu kwa kunipa kibali kufanya kazi chuo kikuu..

Naona Mengi...wasichana wengi ndo mlivyo...huwa kunawakati unaweza ukatiririkwa na machozi ukiwaona wasichana maisha wanayoishi, unaweza kufikiri hawana wazazi but no way. Wanaona ndio wamefika.

Hakuna kujuta, komaa tu na maisha, na kama ulikuwa unacheza sana utakuwa na gentleman GPA, nani atakuajiri wanataka 3.5
 
Unajifunza kutokana na makosa....kinachokuumiza ni jamaa kafanikiwa wakati huna kazi wala ndoa .....jipe muda atakuja atakayekuhitaji kwa sasa unaweza kujiingiza kwenye mahusiano kutokana na pressure iliyonayo jipe muda
 
I think
You did the right thing sweetheart, you missed the bus arleady, it's gone! Get yourself together and start afresh. The truth is you didnt like the guy, even now, you dont like him but his achievements!
Hahaha i think you said it all she is after achievement but not luv and i wonder why would she still concetrate on the same guy insteady make some effort to change you personal life before you search for such successful man no wonder you dont have real love for him.Girl change your mind look for your own and you will find real love ahead i can testify this to you.Please pray hard God still have a good plan for you ahead.
 
uploadfromtaptalk1462216458884.jpg
 
Maisha kadri unavyokosea ndiyo unajifunza kila jambo mweke mbele mungu kutokana na imani yako.
Piga moyo konde ikibidi hama mji mnaoishi ili ukaanze maisha mapya sehemu nyingine usijilaumu kwa sababu mungu hajakupangia kuwa mmeo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom