Ninahitaji Msaada Wakuu: JF

GOV au FBI kama wapo seriuous wanaweza Ibana ISP wa JF kurelease info za JF. au Wanaweza kuwasiliana na JF ADMIN kurelease hizo details za who is who
Siku Invisible atakapoanza kula sahani moja na mafisadi ndio tutakapokoma!
 
Kifupi ni kuwa kuna mtu tokea kwenye IP yako alifanya upuuzi wa hali ya juu akitaka ku-run scripts unsafe kuja JF. Nia yake haikuwa nzuri na nilitoa server ban kwenye IP zote alizotumia.


This is a very serious ishu, nashangaa hakuna an-outrage kutoka kwa wananchi hapa forum, mkuu Invisible ingekuwa vyema ukawasema hawa vibaka waliofanya huu mchezo wakuiniingilia kwenye IP yangu, kwanza waliwezaje?, walianza lini? walikuwa wanataka nini?, adhabu yao ni nini?

Hawa waliofanya ni watu wa hatari sana na nimeshawasema mara nyingi sana hapa kwenye forum, kwamba wana shida sana na jina langu na heshima yangu, maana mtu aliyeamua kuingia kwenye IP yangu ili atumie jina langu nia yake ni nini kama sio kuharibu jina langu hapa JF?

Invisible, hawa watu wapewe adhabu kali sana na wasemwe hadharani haiwezekani tunawasema mafisadi wa taifa tunaacha humu ndani ya forum, wasemwe tuwajue wote hawa wahuni!
 
Back
Top Bottom