Ninahitaji kuvunja mahusiano,enough is enough!

Ruhazwe JR

JF-Expert Member
Jan 31, 2011
3,403
920
Jamani!...jamani!.,jamai!
Ninahitaji kuvunja mahusiano na mwanandani wangu.(nadhani anajijua).Sababu ya kufanya hivyo ninayo,Nia ya kufanya hivyo ninayo,Uwezo pia ninao......enough is enough.Mama yangu Mammdenyi ntaomba ulizie hili haraka kabla hujanipoteza mwanao handsome boy,mwenye fedha mpaka naumwa.shemeji yangu Kijino itabidi ubariki hili kwakua unafahamu sababu zote,bestman Mu-sir itabidi ile shopingi tuliofanya kwaajili ya harusi tuanze kwenda kunywea bia mara tu ya ridha kutoka kwa mama yangu.pia junior .Cux unaombwa ukae tayari tayar kuanza kurudisha michango yote kwa wanakamati wangu wote,kwani baada ya ridha hakuna ndoa tena.wale mashankupe jiandaeni kushangiria nafas zenu kuwa nyeupe.NIMETAFAKARI SANA NIMEGUNDUA TATIZO NI HUU UHUSIANO,NIMEAMUA KUACHIA NGAZI,mama nakusubir mwanao utoe ridha
 
Last edited by a moderator:
hahahahahahaha yamekukuta yapi tena, tulikwambia sisi.. mi ela sirudishi, kwanza ngoja nkakae mahari sa hizi..
 
nina bahati, nilikuwa sijalipia ukumbi, vinywaji na chakula, natokomea nazo.

Bye bye, ulichumbia kicheche badala ya sungura?
 
hahahahahahahayamekukuta yapi tena, tulikwambia sisi.. mi ela sirudishi, kwanza ngoja nkakae mahari sa hizi..
unacheka!...unawezeje kulicheka jiwe?

kama unanjaa ya hela we kazinywe,ila kwa jeur ya fedha nilizonazo mimi ntakuja na plain chequer iliyo andikwa jina lako tu alafu wewe utaniambia niandike kias gani,jiandae...mkao wa kula
 
nina bahati, nilikuwa sijalipia ukumbi, vinywaji na chakula, natokomea nazo.

Bye bye, ulichumbia kicheche badala ya sungura?

bora ya kicheche,nilichumbia nguchiro!......kuhusu fedha nyie tumieni nimewasiliana na Junior aniletee orodha alafu kila aliye weka kamchango kake ntamlipa mara 3 ya alizotoa awali.don't worry!
 
Sasa huyo unayetaka kumuacha ana nafuu, market imejaa vicheche sungura hakuna mjini. Gangamala kaka!
 
Ooooh! Ngoja niwahi kuongea na voda wanirudishie mpesa yangu niliyotuma
 
......... ............ ........... ...........

angalia nisije nkakutwanga na not za dola maana nina hasira na stress kibao,mtu leo atakaye niuzi tu nazama mfukoni namwandikia chek kias chochote atakacho,be care oohooo!
 
Niliyajua haya ndio maana kadi ya mchango ilipokuja nikawapa masela wavutie bangi.......

Nikasema "hapa hamna muoaji wala muolewaji" lol
 
Sasa huyo unayetaka kumuacha ana nafuu, market imejaa vicheche sungura hakuna mjini. Gangamala kaka!

hiv upo single?au?....ngoja nitume wachunguzi wangu wakufanyie uchunguzi then mama yangu akupigie kura huwenda ikawa kufa kufaana
 
mngoja nikapige monde 3 kwanza halafu nilianzishe,hawezi kutuaibisha mchana hivi

hayo ndio maneno.ngoja na wewe nikuandalie plain cheque niandike jinala lako tu alafu utaniambia niandike kiasi gani kitakacho kutosha
 
mamaaaaa...,mama.mama yangu Mammdenyi upo wapi nakurubiri kwa hamu!
 
Last edited by a moderator:
Jamani!...jamani!.,jamai!
Ninahitaji kuvunja mahusiano na mwanandani wangu.(nadhani anajijua).Sababu ya kufanya hivyo ninayo,Nia ya kufanya hivyo ninayo,Uwezo pia ninao......enough is enough.Mama yangu Mammdenyi ntaomba ulizie hili haraka kabla hujanipoteza mwanao handsome boy,mwenye fedha mpaka naumwa.shemeji yangu Kijino itabidi ubariki hili kwakua unafahamu sababu zote,bestman Mu-sir itabidi ile shopingi tuliofanya kwaajili ya harusi tuanze kwenda kunywea bia mara tu ya ridha kutoka kwa mama yangu.pia junior .Cux unaombwa ukae tayari tayar kuanza kurudisha michango yote kwa wanakamati wangu wote,kwani baada ya ridha hakuna ndoa tena.wale mashankupe jiandaeni kushangiria nafas zenu kuwa nyeupe.NIMETAFAKARI SANA NIMEGUNDUA TATIZO NI HUU UHUSIANO,NIMEAMUA KUACHIA NGAZI,mama nakusubir mwanao utoe ridha

kwani kimetokea nn tena shemeji? Mbona hvyo wataka nliza? Na hzo nguo za maharuc nilizoagiza atavaa nani? Mana nimeagiza uingereza nanimeshalipia, nextwk zaja, jamani hebu 2juze kulikoni?
 
Last edited by a moderator:
kwani kimetokea nn tena shemeji? Mbona hvyo wataka nliza? Na hzo nguo za maharuc nilizoagiza atavaa nani? Mana nimeagiza uingereza nanimeshalipia, nextwk zaja, jamani hebu 2juze kulikoni?

Shemeji kilichotokea na kinachoendelea kutoka unakijua sana tena kuliko hata mimi.na nikikubwa zaidi kuliko hata hzo gharama za nguo za harus kupotea,usijal orodhesha gharama kisha unijulishe ni kias gani mim ntalipa mara 3.Lakn unafahamu sana juu ya kinacho endelea,wala usilie shemeji yangu
 
Back
Top Bottom