ninahitaji girl friend

nina my girlfriend wangu naweza nikakuunganishia kama uko interested ni PM,Je? Wewe unavuta/unakunywa,kama vp weka profile lako sawa

mkuu,situmii kilevi chochote wala sivuti sigara.na pia nisingependa girlfriend wangu atumie sigara au pombe.
 
acha uharibifu, tafuta mchumba, g'friend ni utamaduni wa wapi na umefundishwa na nan?
 
nina umri wa miaka 25,ninahitaji girlfriend mwenye umri kuanzia 18-23,awe atleast amesoma mpaka kidato cha sita,mkiristo,anayejiheshimu,mrembo na sifa nyingine nzuri. kama upo interested tuwasiliane kwa namba 0713327429.

Wewe si mkristo kwasababu moja kuu kwamba hata hujui maandiko
ya Mungu yanasema nini juu kupata mke au hitaji lako ni girlfriend na huwezi
kupata girlfriend maana wakristo si girlfriends na kama mke basi Mungu hasemi
wewe utafute ila yeye atakutafutia yeye mwenyewe je, upo hapo?

Pili inabidi uwaombe radhi girlfriends watarajwa maana wewe umewafanya
dada zetu wapo kwa mahitaji yako kama ulivyojieleza kuwa ''unahitaji girlfriend''
so you make our african women are just like commodities....R.I.P.
 
huo ni mtazamo wako,ninataka girlfriend au mchumba nitakaye muoa,maandiko yanasema tafuteni nanyi mtapata,siwezi nikamwomba mungu halafu akanishushia tu kama hewa,amenipa ufahamu na utashi utakaonisaidia,lakini pia amenipa shehena ya wanajamii wanaoweza kunisaidia katika hili.

hata hivyo asante kwa mtazamo.
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom