ninafurahia ukosefu wa umeme na mafuta.

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,492
54,890
Unajua tunaposema CCM haifai wakati wa kampeni unakuta watu wanapinga, tukisema Rais kikwete hafai watu wanapinga, tukisema mawizi wa Kikwete hawafai watu wanapinga.

Sasa hivi napumuzika kupiga kelele nawaacha muyaone wenyewe halafu 2015 ntawauliza tuendelee ama tusiendelee??.huu mwaka tu kuisha magamba wote watakua wamenyosha mikono. Kusoma hamjui hata picha hamuoni?

Na bado haya ni manyunyu. mia
 
du 2011 mbali sana kuna mijitu kama mabata au kuku haichelewi kusahau. Labda uchaguz ungekua mwaka huu. Na hata ungekua mwaka huu siweki gurantee kwa hawa watu wetu. Nahc walirogwa kuipenda ccm.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom