Ninadaiwa benki nne, BOA, CRDB, AKIBA, STANBIC BANK, naombeni msaada wenu

pole sana kwa yaliyokukuta,ila kwa kutapeliwa kwako na wazaire nimecheka sana. Nawapenda sana matapeli. Nalog off
 
au nenda barclays bank hawa jamaa wananunua mikopo ya benk zingine halafu wewe unawalipa hiyo hela pamoja na top up waliokupa..
 
Ndugu ushauri wako sio mbaya lakini mimi tawalipa na nini? Pesa sina nimebakiza Costa nao ipo gerage natafuta mteja niiuze hata milioni 12 nianze biashara za madini
 
mkuu nataka nikushauri!cool down usi panic!mdaiwa huwa hafungwi!Coaster ni ya mwaka gani?ilikua inafanya kazi gani?eg daladala,dar moro etc.

Dhamana yako ilikua ni kitu gani wakati unachukua hiyo mikopo?waachie benk watauza wata recover cost yao!

Coaster unauza unaanza upya maisha!pole mkuu!
 
Huko kwenye biashara za madini ndo watakutapeli hadi makochi unayokalia baba mwenye nyumba akose cha kuing'ang'ania! Mi sijui nikusaidie hiyo ya mke kukimbia? Nije kum-replace? Nalipa lipa kidogo

Ndugu ushauri wako sio mbaya lakini mimi tawalipa na nini? Pesa sina nimebakiza Costa nao ipo gerage natafuta mteja niiuze hata milioni 12 nianze biashara za madini
 
Mbona haupo makini. Umesema unadaiwa na benki nne @mil 20. Hiyo hesabu ya mil 80,000/= umeipataje?

Naomba unieleweshe kabla ya kukupa ushauri.

hapa sasa ni wewe umeongea na ukilaza umeonekana! Hujui hata 2X4=? Halafu uongeze 00...mwishoni? Hahaha!
 
Pole sana na yafaa hili likikutoka ujifunzd na usirudie tena unachukua mkopo bila kufanya wide research kitu utakachofanyia au ulifuata mkumbo?ilobaki uza dhamana ulizowekea benki lipa madeni ujipange upya kwani kuna kupanda na kushuka na ukijipanga fresh utatoka tu
 
mkuu nataka nikushauri!cool down usi panic!mdaiwa huwa hafungwi!Coaster ni ya mwaka gani?ilikua inafanya kazi gani?eg daladala,dar moro etc.

Dhamana yako ilikua ni kitu gani wakati unachukua hiyo mikopo?waachie benk watauza wata recover cost yao!

Coaster unauza unaanza upya maisha!pole mkuu!

Mkuu dhamana yangu ilikuwa duka langu leseni ya biashara TIN no: na mzunguko wangu wangu wa pesa kwenye benki hizo!

Tena wao ndio kila siku walikuwa wanafuata dukani wakiniambia nichukuwe mikopo
 
Pole sana na yafaa hili likikutoka ujifunzd na usirudie tena unachukua mkopo bila kufanya wide research kitu utakachofanyia au ulifuata mkumbo?ilobaki uza dhamana ulizowekea benki lipa madeni ujipange upya kwani kuna kupanda na kushuka na ukijipanga fresh utatoka tu

Mkumbo umetoka wapi?
Wakongo ndo walomtapeli.
Kaka unataka kufanya biashara ya madini?
May be tuwasiliane then nikushauri uende wapi.
 
Similar Discussions

3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom