Ninachokikumbuka katika maisha ya ujanani...............ila sasa hivi sijui!!!!!!!!

mimi nachokikumbuka nimtu wangu wa kwanza kukifungua kipochi manyoya changu namkumbuka sana lakini sio kwakua alinifungulia ulimwengu wa maraha nop ila kwakua alinifanya nikwazike juu ya mapenzi maana asingekua yeye wala nisingeumizwa na wala mimi nisinge waumiza wengine na kuutia doa moyo wangu

Kipochi manyoya.... Hakyamungu.
 
sio sifa kwakweli ila past za sisi wengine mmmnh......................yaani mi wakishikana mikono hivi wanaweza hata kufika chalinze toka ubungo!

Siku niliamua niwapeleke picknick mwanza...nkapeleka maombi ya kuwasafirisha TRL mpaka leo sjajibiwa maana hawana mabehewa ya kuwatosha nlokuwa nao
 
mwanamke niliyemtoa bikra ndiye mke wangu hadi sasa, nashukuru Mungu sijamwuumiza moyo, kwasababu ukimtoa mtu ile kitu afu ukampiga kibuti nasikia huwa inawauma sana.
 
Back
Top Bottom