Ninachokikumbuka katika maisha ya ujanani...............ila sasa hivi sijui!!!!!!!!

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,555
8,552
Nikiwa nimeanza kubarehe nikiwa mkoa wa tabora na maisha ya shule...nakumbuka sikupata mtu wakunipoza moto niliokuwa nao wa ngono....nikawanateseka....maisha yangu yakawa ni Masturbation daily x3!!Usicheke!!!
Baada yaumri kusogea na wadada kuwa wananikubali nikawa na kijinotbook changu na horodhesha....nikhamia mbeya napenyewe nikaendeleza mpaka nikapata idadi ya mademu 59!!!Mwaka 1992.........Ila baadae mambo ya maisha yakapanda mda wakuandika nikawa sina.....kwasasa hata sijui idadi ya wapenzi niliokwisha kutana nao!!......Je wewe unaweza ukajua idai uliyokwisha kukutana nayo????Mchana mwema....!
 
mimi nachokikumbuka nimtu wangu wa kwanza kukifungua kipochi manyoya changu namkumbuka sana lakini sio kwakua alinifungulia ulimwengu wa maraha nop ila kwakua alinifanya nikwazike juu ya mapenzi maana asingekua yeye wala nisingeumizwa na wala mimi nisinge waumiza wengine na kuutia doa moyo wangu
 
Jamani sikumbuki ni mademu wangapi nimepitanao kwa sababu nimezama kwenye penzi la mtoto wa kisukuma.

-(ALWAYS A BIG LIAR SHOULD HAV
 
Kuna mdada nilimku-kula siku fulani, yaani simkumbuki nayeye hanikumbuki, maana tulichukuana tu,
idadi sikumbuki ila ni wengi sana.
 
Mimi nakumbuka Smile alivyonipiga kibuti na ni mara yabgu ya kwanza ktk maisha kupigwa kibuti.LOOOOOOOOOOOOOOO MKEKUUU...
 
Kazi kweli ebu nikatembe nimechoka na hili tumbo nitaka kufika miguuni watoto wanapigana.
 
i wish i was that lucky one.....
mimi nachokikumbuka nimtu wangu wa kwanza kukifungua kipochi manyoya changu namkumbuka sana lakini sio kwakua alinifungulia ulimwengu wa maraha nop ila kwakua alinifanya nikwazike juu ya mapenzi maana asingekua yeye wala nisingeumizwa na wala mimi nisinge waumiza wengine na kuutia doa moyo wangu
 
Nikiwa nimeanza kubarehe nikiwa mkoa wa tabora na maisha ya shule...nakumbuka sikupata mtu wakunipoza moto niliokuwa nao wa ngono....nikawanateseka....maisha yangu yakawa ni Masturbation daily x3!!Usicheke!!!
Baada yaumri kusogea na wadada kuwa wananikubali nikawa na kijinotbook changu na horodhesha....nikhamia mbeya napenyewe nikaendeleza mpaka nikapata idadi ya mademu 59!!!Mwaka 1992.........Ila baadae mambo ya maisha yakapanda mda wakuandika nikawa sina.....kwasasa hata sijui idadi ya wapenzi niliokwisha kutana nao!!......Je wewe unaweza ukajua idai uliyokwisha kukutana nayo????Mchana mwema....!
Bado unatongoza wengine siku za leo??
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom