Nina wasiwasi na werema utendaji wake wakati akiwa jaji

Balungi

JF-Expert Member
May 25, 2011
229
151
SINA UHAKIKA KAMA KWELI HUYU JAMAA ALIKUWA JAJI MTENDA HAKI KATIKA UTUMISHI WAKE,
MAANA UKITAKA KUMJUA VIZURI ANGALIA KAULI ZAKE ZA SASA HIVI,

UZURI NI KWAMBA TANZANIA HATUNA HISTORIA YA KUSHTAKI WANENE WETU KWA MAKOSA YA WAKATI WA NYUMA,
HATA KAMA YAKIDHIHIRIKA SASA HIVI,

NA TUKIWASHTAKI BASI UJUE NI GHERESHA KWA WALALA HOI
:car:
 
Usiwe na wasiwasi, mimi nasema kwa uhakika kuwa alikuwa wa hovyo, ninamtambua kwa maneno na matendo yake ya sasa, alikuwa hivyo siyo kuwa amejifunza mbinu mpya.

Ninashangaa anaofanya nao kazi wanamwonaje, hasa kwa kuangalia taswira yake katika jamii, Nadhani hata mke wake na watoto anaona aibu kujitambulisha naye.

Simshangai hatakidogo kwa waliomteua kwani si yeye peke yake aliopo kwenye mfumo, lakini nazidi kuwashangaa wanachama hai wanajisikiaje.

This system has to be voted out or to be forced out.

Uteuzi wake, Shimbo, ..............
 
kuna mtu aliukumiwa kunyongwa mpaka kufa sasa kashinda kesi
kwa hivyo ni sahihi kabisa nchi ina mwanasheria mkuu dhaifu kuliko mwanafunzi wa mwaka wa kwanza wa sheria.

mbaya zaidi ni welewa werema na uzalendo wake, werema kauli zake zineonyesha ni mtu hasiye na huruma na umma hata kidogo
 
Bahasha ya JAIRO humtembelea mara kwa mara, ndiyo maana anakuwa na majibu na maamuzi ya kijinga sana. Kwa kuthibitisha hili tusubiri katiba mpya tuone!
 
Kuwepo kwake katika nafasi hiyo inamaana kubwa kwa waliomweka hapo

Mpaka wataalamu watakapokataa kutumika kupora maslahi ya umma ndipo na sisi waafrika tutasonga mbele

Matumaini ni kwamba tutakuwa na katiba mpya itakayoelekeza jinsi Kina werema Wengine watakavyopatikana
 
nimeangalia mawazo yake na akili yake nimeona maisha mengi Amshiriki kudesa ndio maana kwenye actual facts anakuwa
nothing ajui cha kufanya lakini umuulize swali la darasani wanakutajia adi ya page ya mwisho sio kosa lake
 
Ha ha ha ha ha huyu jamaa bwana sio competent kabisa yaani huwa najiuliza of all people JK alikuwa anawatoa wapi hawa
waatu wake au ndio yale yale mambo yake ya ushikaji nakadhalika maana wote hakuna kitu kama leo alivyotakiwa kufafanua utata uliojitokeza bungeni wa kuhamisha kifungu cha fedha kutoka kwenye bajeti iliyopitishwa kuongezea kwenye bajeti ya ya uchukuzi kaongea utumbo kamam kawaida yake sijui hawa jamaa huwa wanakuwa hata na aibu duh maana vijana wanatoa hoja wao wanjibu utumbo kwenye kila kitu pambafuuu sana hawa viazi
 
Napatwa na wasi wasi na utendaji wake,Tundu Lissu anamsumbua sana Bungeni na majibu yake yana ubabaishi sana
 
Back
Top Bottom