'nina wasiwasi na wabunge wa upinzani'-KIPANYA

Bajabiri

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
9,730
1,201
Masoud Kipanya'KP' anasema yeye anaunga mkono hoja ya Zitto maana ki uhalisia pesa zilizokwapuliwa ni nyingi mno,pia akaenda mbali na kusema kuwa anaisi kuwa kuna wabunge wa upinzan wanaweza kugoma kuunga mkono hoja ni kwakuwa tu imetoka upande wa CHADEMA,hivyo kuunga mkono hoja ya zitto kwao haitakua jambo jema,ina maana kuwa wabunge kutoka CUF,TLP,UDP NA N.C.C.R wanaweza wasisaini.
Sos:times fm
 
Hoja ya Zito ina mantic, Lakini kama kuna wasiwasi wa kutopata saini sabini je kura nusu ya wabunge zitapatikana?
 
Masoud Kipanya'KP' anasema yeye anaunga mkono hoja ya Zitto maana ki uhalisia pesa zilizokwapuliwa ni nyingi mno,pia akaenda mbali na kusema kuwa anaisi kuwa kuna wabunge wa upinzan wanaweza kugoma kuunga mkono hoja ni kwakuwa tu imetoka upande wa CHADEMA,hivyo kuunga mkono hoja ya zitto kwao haitakua jambo jema,ina maana kuwa wabunge kutoka CUF,TLP,UDP NA N.C.C.R wanaweza wasisaini.
Sos:times fm
wasiwasi mkubwa ni wale wa CCM ambao hufanya mambo kwa kulindana hata kama ndani ya bunge wanaonesha kukerwa.
 
Masoud Kipanya'KP' anasema yeye anaunga mkono hoja ya Zitto maana ki uhalisia pesa zilizokwapuliwa ni nyingi mno,pia akaenda mbali na kusema kuwa anaisi kuwa kuna wabunge wa upinzan wanaweza kugoma kuunga mkono hoja ni kwakuwa tu imetoka upande wa CHADEMA,hivyo kuunga mkono hoja ya zitto kwao haitakua jambo jema,ina maana kuwa wabunge kutoka CUF,TLP,UDP NA N.C.C.R wanaweza wasisaini.
Sos:times fm
Bwana Masoud inawezekana wakasaini kwa wingi kama jaziba za jana ilikuwa kweli si unafiki!!!!!!!!! Vinginevyo tutajua ni nani mzalendo halisi wa Tanzania, au nani anaweka ubunge wake rehani watu wamefunguka bwana!!!!!!

Aisee kwa hili wana ccm wameshagawanyika, ninaimani kura watapiga na saini wataweka.
 
hizo signature 70 hazitapatikana kwa wapinzani tu bali hata kwa upande wa CCM ziko nyingi tu. Wabunge waliowengi sasa hivi wameisha choka japo wanagugumia chini kwa chini, we unafikili Filikunjombe na Zambi wana muono upi?.
 
tutaona
 
najua kutoa shibuda wabunge wengine wote wa chadema watasign, Nccr nao sina wasiwasi nao, cuf labda yule mlemavu wa ngozi sijui anaitwa nani yeye anaweza akasign, ccm kuna Lowassa, Filikunjombe wengine hawaeleweki, Tlp mzee wa kiraracha hasain wala UDP John cheyo hasain, TUOMBE MUNGU AFANYE MIUJIZA
 
Nina wasisi wataitwa na kamati ya CCM watishwee na waambiwe wanyamazeeeee, yataisha hivi hivi tuuuuuuuuu
 
hizo signature 70 hazitapatikana kwa wapinzani tu bali hata kwa upande wa CCM ziko nyingi tu. Wabunge waliowengi sasa hivi wameisha choka japo wanagugumia chini kwa chini, we unafikili Filikunjombe na Zambi wana muono upi?.

Yule mama Mnafiki Anna Kilango,hatasign
 
Masoud Kipanya'KP' anasema yeye anaunga mkono hoja ya Zitto maana ki uhalisia pesa zilizokwapuliwa ni nyingi mno,pia akaenda mbali na kusema kuwa anaisi kuwa kuna wabunge wa upinzan wanaweza kugoma kuunga mkono hoja ni kwakuwa tu imetoka upande wa CHADEMA,hivyo kuunga mkono hoja ya zitto kwao haitakua jambo jema,ina maana kuwa wabunge kutoka CUF,TLP,UDP NA N.C.C.R wanaweza wasisaini.
Sos:times fm

Wana JF,

Tatizo la Wabunge wetu nadhani kabisa hawajui maana ya uwajibikaji kwa Taifa hili na pia kwa wapiga kura wao. Kuwepo pale bungeni ni kutunga sheria kusimamia sheria na kuileza serikali nini cha kufanya sasa nashindwa elewa kwanini wabunge waendapo Bungeni wanajisahau kwa hayo majukumu na wanaenda kuwa na Individual Political Curiosity ambazo hazimsaidii mtanzani wa leo katika hali hii.

Ni kweli waweza kuta kuna wabunge wengine wanadhani kumwajibisha Waziri mkuu ni kuitia aibu CCM au Serikali ni kuwawajibisha wale wote wanao itia serikali hii doa na kuwaibia wananchi kodi zao. Ili iwe fundisho kwa vizazi vijavyo. ni majuzi tuu hapo wabunge wa CCM walichachamaa hadi kutoa kauli ya apigwe mtu risasi au anyongwe iweje leo kuweka Vote of no confidence with PM iwe ndio kesi kubwa zaidi ya mtu kunyongwa?

CCM wataacha unafiki lini na ndio maana watu wamefika mahali wamechoshwa na ahadi za CCM na ndio maana Pinda halali kwa ajili kusikia PEOPLES POWER

hizo signature 70 hazitapatikana kwa wapinzani tu bali hata kwa upande wa CCM ziko nyingi tu. Wabunge waliowengi sasa hivi wameisha choka japo wanagugumia chini kwa chini, we unafikili Filikunjombe na Zambi wana muono upi?.

Zambi ni mnafki sema watz wengi hampendi kufuatilia mambo nenda mbozi watakueleza pia remember ishu ya kuhongwa kule halmashauri ya korogwe huyu huyu ndiye aliyemchakachua ndugu yetu mwampamba 2010
 
Mzee wa kiraracha huwezipata Uwaziri. Tunaomba usaini. acha kujikomba CCM!!!!! Hivi ilikuaje 1995 ukapata kura nyingi vile?
 
Zito amewatega,its gud coz ye aliwaona na kuwaskia walipokua wakichangia,
sasa kaja 'tupige kura',
watu 'oooo mi ntakua wa mwisho'
 
najua kutoa shibuda wabunge wengine wote wa chadema watasign, Nccr nao sina wasiwasi nao, cuf labda yule mlemavu wa ngozi sijui anaitwa nani yeye anaweza akasign, ccm kuna Lowassa, Filikunjombe wengine hawaeleweki, Tlp mzee wa kiraracha hasain wala UDP John cheyo hasain, TUOMBE MUNGU AFANYE MIUJIZA

yule anaitwa Bur'hani cjui Barwani
 
Back
Top Bottom